Barak unfazed by criticism from Tanzania

Defense Minister Ehud Barak has declined to apologize to Tanzania, despite a letter from the African country protesting a Barak statement that its representatives in Israel found offensive, a Barak associate said Tuesday.
In an interview with Israel Radio's Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized theForeign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France, and Germany irrelevant.


"Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya]," said Barak, noting places whose names rhyme with England in Hebrew. "These are very important, very relevant countries and we don't have an interest in increasing tensions with them or making them bitter enemies."

Tanzania's honorary consul in Israel, Kasbian Nuriel Chirich, wrote a letter to ForeignMinister Avigdor Lieberman condemning Barak's remarks and inviting a representative of Israel to visit his country.




In this effort to praise theimportance of key countries in Europe, he chose to put down Tanzania and compare it to a country that doesn't even exist," Chirich wrote. "Tanzania is the largest country in East Africa, rich in natural resources, with a population of some 46 million peace seeking people and a gross domestic product of more than 58 billion dollars.

Chirich noted that Israel andTanzania have had diplomatic, security, and economic relations since Tanzania's independence and that Prime Minister Binyamin Netanyahu has recently met African leaders in an effort to deepen ties with the continent amid the strengthening of Islamic extremism there.

"Tanzania is an important country that Israel should not ignore," Chirich wrote.

Barak's associates said he did not intend to express regret for his statements aboutTanzania, which they said Barak had made on multiple occasions.

"Maintaining relations with England, Germany, and France is indeed more urgent for Israel than with Tanzania, which has less influence from Israel's standpoint," a source close to Barak said.
 
Wanadiplomasia, ni hatua tunatakiwa tuchukue baada ya jamaa kukataa kuomba radhi?
 
wafutage tu ubalozi kutokana hakuna haja ya kujipendekeza kwa mtu ashakutosa poleni sana wanahija wa Efatha ministry..

RIP TZ..
 
Watanzania wagome kufanya biashara na waisraeli. Yapo makampuni mengi ya waisraeli hapa bongo, watu wangeacha kuwapa kazi!
 
Waisrael wote wafukuzwe nchini,na huyo balozi wetu huko Israel naye aitwe nyumbani mara moja
Haiwezekani nchi yetu ifananishwe na nchi isiyokuwepo
 
sisi ni France, England, Germany, Mauritania au Tripolitania?

ni kwa lipi hasa tunaweza kugombea kwa kutofautishwa na hizo nchi/jimbo la Libya?
 
Hilo jina la Honorary Consul wa Tz sidhani kama ni mTanzania bali rafiki mkuu wa Tanzania. Hizo ni siasa tupu wacha biashara ziendelee. Tunajifanya tuna uchungu na mapenzi ya Tanzania wakati kilaleo twaiponda nchi yetu wenyewe.
 
Waisrael wote wafukuzwe nchini,na huyo balozi wetu huko Israel naye aitwe nyumbani mara moja
Haiwezekani nchi yetu ifananishwe na nchi isiyokuwepo

Kwanini wafukuzwe?huu utakuwa uamuzi wa kishenzi usiostahili kufanywa katika karne hii, by the way huyo balozi wa heshima amejitolea tu kufanya kazi hiyo "kama ya Umissionary" vile kwa niaba ya nchi ya Tanzania aliyotokea kuipenda, mcheck hapo wa pili kutoka kulia..Save a Child's Heart
 
wafutage tu ubalozi kutokana hakuna haja ya kujipendekeza kwa mtu ashakutosa poleni sana wanahija wa Efatha ministry..

RIP TZ..

...Wanahija wataendelea kwenda tu japo haiondoi ukweli kuwa sie tunaihitaji Israel lakini yenyewe haituhitaji kwa lolote...
 
"Our race is the Master Race. We are divine gods on this planet. We are as different from the inferior races as they are from insects. In fact, compared to our race, other races are beasts and animals, cattle at best. Other races are considered as human excrement. Our destiny is to rule over the inferior races. Our earthly kingdom will be ruled by our leader with a rod of iron. The masses will lick our feet and serve us as our slaves."

- Menachem Begin - Israeli Prime Minister 1977–1983

Kwa kusoma hiyo statement usishangae Ehud Barak kukataa kuomba msamaha; we're inferior race or better subhuman as they think!
 
Since the Jews are claimed to be the Master Race, whose souls are said by the Talmud to be on a far higher plane than the animalistic, "satanic souls" of Gentiles, it is common for Jewish authorities to brand all Gentiles (as Barak did); by the derogatory Yiddish term "goy," a term akin to a curse word. Meanwhile, Arabs are deemed so inferior they are even lower than the goy.

Jamani tuwasamehe hawa watu hawajui walitendalo ni laana zinawasumbua!
 
Wakuu habari za wakati huu na poleni kwa majukumu!
Nimekuwa nikijiuliza kisa ama chanzo cha Israel kuidharau,kuidhihaki na kuidhalilisha Tanzania kwenye jamii ya kimataifa.Tatizo langu wakuu sijajua nini hasa Tanzania imekifanya hadi Israel ikasema ama kutamka iliyoyatamka,plse naomba mniondoe kwenye sintofahamu hii.






Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya- 2012,Wenye baraka na mafanikio lukuki!
Nawasilisha!
 
Sababu ya Israel kutuzadharau ni kwa sababu sisi wenyewe tumejidharau! Kwa hiyo Israel wanaendeleza kile tulichokianzisha.
 
Defense Minister Ehud Barak has declined to apologize to Tanzania, despite a letter from the African country protesting a Barak statement that its representatives in Israel found offensive.

In an !important interview with Israel Radio's Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant.

RELATED:
Barak opposes Foreign Ministry's Europe slam
Diplomacy: An appreciative partner in Africa


"Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya]," said Barak, noting places whose names rhyme with England in Hebrew.

"These are very important, very relevant countries and we don't have an interest in increasing tensions with them or making them bitter enemies."


Tanzania's honorary consul in Israel, Kasbian Nuriel Chirich, wrote a letter to Foreign Minister Avigdor Lieberman condemning Barak's remarks and inviting a representative of Israel to visit his country.

"In his effort to praise the importance of key countries in Europe, he chose to put down Tanzania and compare it to a country that doesn't even exist," Chirich wrote. "Tanzania is the largest country in East Africa, rich in natural resources, with a population of some 46 million peace-seeking people and a gross domestic product of more than $58 billion."

Chirich noted that Israel and Tanzania have had diplomatic, security, and economic relations since Tanzania's independence and that Prime Minister Binyamin Netanyahu has recently met African leaders and is attempting to deepen ties with the continent amid the strengthening of Islamic extremism there.

"Tanzania is an important country that Israel should not ignore," Chirich wrote.

Barak's associates said he did not intend to express regret for his statements about Tanzania, which they said Barak had made on multiple occasions.

"Maintaining relations with England, Germany and France is indeed more urgent for Israel than with Tanzania, which has less influence from Israel's standpoint," a source close to Barak said.
 
kazi kweli kweli. madharau mengine haya.....

Binadamu usipojiheshimu nawe hutaheshimiwa na kwa nchi vile vile kama viongozi wake hawajiheshimu kupitia jinsi wanavyoongoza nchi zao, hizo nchi haziwezi kuheshimiwa kwani heshima haiombwi hali hupewa anayestahili!! Kama sio ujuha ni nini nchi tajiri kama hii viongozi wake kila kukicha kigulu na njia kwenda kuomba omba misaada, mtakosa kudharauliwa? Mbona enzi ya Kambarage haya matusi hata siku moja hatukuwahi kutukanwa na aliyethubutu alikiona cha mtema kuni; ule ndio ulikuwa uongozi bwana sio hawa wauza sura wanahongwa suti wanauza nchi!!
 
Israel haina balozi (wala ubalozi) Tanzania. Mambo yao ukiyataka sharti uende Kenya. Walishafunga ubalozi wao kitambo baada ya Tanzania kuchangmkia dili la kuwaunga mkono Wapalestina. Hata hivyo tuna kila sababu ya kujiuliza maswali magumu. Hivi kweli ni nini umuhimu wa Tanzania kwa Israel? Tumekuwa chanzo kikubwa cha matamko ya kuilaani na kuishutumu Israel mara nyingi. Katika hali kama hiyo tusitegemee Israel ituheshimu au itupende. Waswahili tunajua kwamba, "Asiyekupenda hakuchagulii tusi".
Kwa upande wa Tanzania naamini Israel bado ina umuhimu kwetu. Mtakumbuka kuwa hata mgombea uraisi wa chama chetu aliwahi kuwaahidi kuendeleza bonde la Ruvu kwa kutegemea msaada na technolojia kutoka huko Israel. Halikadhalika tuna kundi kubwa la waumini ambao dini yao ina asili na Israel na hija yao inawataka wafike huko. Pamoja na yote hatukustahili dharau kiasi hiki. Ila katika mazingira yaliyopo "Asiyekupenda hakuchagulii tusi".

Hapo tu ndo tunapoharibu wabongo. Hivi kweli miaka hamsini ya uhuru bado hatujadocument vya kutosha kuweza kuanza kufanyia kazi wasomi waliyonayo vichwani mwao? Hakuna kitu kigeni hapo zaidi ya kuanza vitendo kwa kutumia uwezo wetu wenyewe. Tuache kuwategemea watu wa nje muone kama hatutapiga hatua. Wataalamu tunao, hatutaki kuwatumia na tukiwatumia tunawatumia isivyo.
 
sababu inaanzia kwenye kutaka kuipa taifa la Palestina nchi! Kama unafuatilia UN sessions utajua msimamo wa Tanzania kwenye hili swala haswa hivi karibuni! Hiki kitu hakijaifurahisha Israel japokuwa Barak ana-pretend as if haijui Tanzania lakini ikumbukwe huyu ni waziri wa Ulinzi na inaweza ikaonyesha Tanzania inazungumziwa na sishangai kama this row will expand into other things
 
Hawa watu ndiyo rangi yao, wala Barak hajakosea kuna pahala palimgusa zamani akastahamili, once Tanzania ilipopaza sauti yake kuungas mkono jitihada za Palestine kuwa mwananchama wa kudumu wa UN, hiyo tu ilizusha nongwa kwa mabwana hawa, kazi kwenu kina Membe mabakuli yenu ya kuombaomba yanaanza kukosa wajazaji, mkiyapeleka wa kwa hao "relevant" wana masharti yao ya ufirauni mtayaweza!?
 
sababu inaanzia kwenye kutaka kuipa taifa la Palestina nchi! Kama unafuatilia UN sessions utajua msimamo wa Tanzania kwenye hili swala haswa hivi karibuni! Hiki kitu hakijaifurahisha Israel japokuwa Barak ana-pretend as if haijui Tanzania lakini ikumbukwe huyu ni waziri wa Ulinzi na inaweza ikaonyesha Tanzania inazungumziwa na sishangai kama this row will expand into other things
Yaani wanatudharau kabla ya kutubariki? Sasa itakuwaje ?!
 
Nadhani hasira zilianza tangia Mwalimu Nyerere alipoamua kutokuwa na ubalozi wa Israel nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom