dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,124
- 49,380
Hivi kwa nini sisi hatupendi kusikia ukweli?
Kwa nini tukiambiwa ukweli tunasema tumetukanwa?
Haya ndio maneno yanayowafanya viongozi wetu wajione na wao ni viongozi kumbe ni vilaza. Tumezoea kusikia maneno matamu kutoka kwa Mwakilishi wa Jumuiya Ya Ulaya kwa kuwa anafanya unafiki huo kwa maslahi ya waliomtuma atusifie kutwa kucha ili wao waendelee kupewa migodi yetu.
Barak kasema kweli, nyie kama mna mlaani endeleeni mimi simo. Tim Clarke amezoea kutusifia kwa maslahi ya EU hatusemi, anayekamua jipu letu ndio tunamchukia
Mkuu umenena. Kama wanadhani relevance ya nchi duniani inatokana na "richness in natural resources" hiyo ndiyo habari yao. Wakajipange upya wajifunze HESHIMA ya nchi duaniani inatokana na nini?
Israel is very minute less than even Idodomia lakini heshima na relevance yake duniani inatisha katika nyanja zote hadi siasa zao za ndani tofauti na uchwara za kwetu.