Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
Hizo nchi zinanufaika kwa Bilateral business na Israel pia Israel inavyozisaidia kitekinolojia ukizingatia Israel inaongoza kwa teknolojia nyingi kama za kilimo, defense na madawa kuliko nchi nyingine yeyote duniani unapoona Marekani inapiga hatua au makambora ya Warusi mengi yao yamegunduliwa na wasrael wanaoishi katika nchi hizo.
Unafiki waturuki ni wajinga kuwa na uhusiano wa kijeshi na Israel? Wanajua wanachokipata pia wananufaika kibiashara hata juzi baada ya kuiwekea vikwazo Israel dhidi ya kuua wanaharakati wa Uturuki waliokuwa kwenye flotila ya Uturuki iliyotakiwa kwenda Gaza kutoa misaada ya madawa kwa wapalestina Uturuki imekiri kwa kuiwekea vikwazo Israel inapoteza mamilioni ya dollar kibiashara