Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

Alisema mtamkumbuka naona akili zimeanza kuwarudia vichwani mwenu sasa..!!
Alikuwa mkweli katika hilo la kumkumbuka. Yapo kadhaa ya kumkumbuka;
  • Ujenzi wa stand za mabasi,
  • Mji wa serikali Dodoma,
  • Kukopa huku akidanganya kuwa ni pesa za ndani,
  • Kukatiza maisha ya wapinzani wake,
  • Kupanga kuondoa maisha ya mbunge akashindwa akaishia kumpa ulemavu na mateso makali,
  • Ukabila na ukanda.

Na kadhalika!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni ya kwako unayomkumbuka nayo!
 
Waliotoa wazo, kubuni, kufanya uamuzi na kuanza kutekeleza wote mliwapuliza kwa puto halafu sasa mnajifanya kwenda kufurahia mandhari huku mkimpongeza mtu ambaye alikuwa anapingana na uanzishwaji wake.........kweli wamajini mna shida sana.

JPM hakuwa na makandokando kama unavyodai ila wewe kwa kurejeea ndio ulikuwa na makando kando mengine tu mpaka ulikuwa unatamani kwenda Rwanda kupitia barabara ya Nyakanazi

JPM was very bright, patriotic, and compassionate for his people whose quality performance delivery shall prevail for ages to come.
Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k)

Leo nimepita katika huu mji na kukuta teyari taa za barabarani zimefungwa na teyari zinafanya kazi. Hakika kunavutia japo magari bado ni machache.

Ukiacha kukosa utu na makandokando mengine, mji juu ni urithi mzuri aliotuachia Mwendazake na tumshukuru Mama kwa kuendeleza.

Mji huu nimeupenda sana na ninapanga kununua kiwanja na kujenga maeneo ya jirani na huu mji.

Hongera kwa wote waliohusika katika ku- design huu mji ambao ukikakamilka kama ulivyopangwa, basi eneo hili litakuwa kivutia kizuri kwa watanzania na wageni.

A very nice city!
lio
 
Nionyeshe mwanafunzi hata mmoja ambaye anamimba anaendelea na masomo!! Siasa hizo.
Mbona muongozo ushatolewa January utekelezaji unaanza rasmi. WaTanzania walipiga vigeregere so unafiki ni jadi yetu hata kwa JPM nako walikua wanamshangilia kinafiki tu ila moyoni walikua wanampinga.
 
Waliotoa wazo, kubuni, kufanya uamuzi na kuanza kutekeleza wote mliwapuliza kwa puto halafu sasa mnajifanya kwenda kufurahia mandhari huku mkimpongeza mtu ambaye alikuwa anapingana na uanzishwaji wake.........kweli wamajini mna shida sana.

JPM hakuwa na makandokando kama unavyodai ila wewe kwa kurejeea ndio ulikuwa na makando kando mengine tu mpaka ulikuwa unatamani kwenda Rwanda kupitia barabara ya Nyakanazi

JPM was very bright, patriotic, and compassionate for his people whose quality performance delivery shall prevail for ages to come.

lio
Hata makaburu waliijenga sana South Africa lakini haiondoi ukweli kuwa walikua na makando kando mengi sana. Same to JPM uchapakazi wake haukuwa na shaka ila haibadili ukweli kwamba alikua na makando kando mengi sana hasa kwenye eneo la uongozi.

Msifiche udhaifu kwenye uchapakazi, yaani mfano kwa kuwa Mimi ni mhasibu mzuri haiwezi badili kwamba ni mlevi au mzinzi!!
 
We value his quality performance delivery for his people and not based on the political arena as you prefer to be accorded that merely benefits the gluttonous politicians. His outstanding performance shall persist and prevail to be a benchmark for the 50 years to come. Your personal hatred against him is a clear indication you were among the crooks who had been exploiting the citizens for personal advancement.
 
Which hatred? I'm against your double standards of thinking that development and service delivery can be a cover up of his authoritarian rule!!
Hitler delivered more than JPM but does it matter anymore? Bridges and roads can never be a substitute of human rights and just leadership.
 
Mbowe na Lissu watakumbukwa kwa lipi nchini?
Lissu ana mchango mkubwa kwenye kutetea wakazi wa maeneo ya migodini walioathirika na uchimbaji wa kinyonyaji.

Mbowe atakumbukwa kwa kuongoza chama ambacho kilizuia ufisadi mkubwa nchini kuanzia Kagoda mpaka Tegeta Escrow iliyosaidia kuokoa zaidi ya Trillion 1 za waTanzania masikini. Unadhani bila upinzani CCM ingewajibishwa?

Wewe na CCM mna mchango Gani tokea uhuru? Zaidi ya kuleta umasikini tu na kukopa
 
Back
Top Bottom