Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,989
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa maelekezo ya kuhakikisha ujenzi wa Barabara Jijini Dar es Salaam zinajengwa kwa usiku na mchana ili kuondoa changamoto zilizopo ikiwemo Barabara ya Kibamba hadi Mbiji Magohe na Mpiji Magohe hadi Mbezi.
Aidha, Chalamila ameongeza kuwa anatarajiwa kuanza kufanya ziara kuanzia Saa mbili usiku hadi saa saba Usiku ili kuona kama kazi zinaweza kufanyika usiku na mchana.
Aidha, Chalamila ameongeza kuwa anatarajiwa kuanza kufanya ziara kuanzia Saa mbili usiku hadi saa saba Usiku ili kuona kama kazi zinaweza kufanyika usiku na mchana.