Nyie wote hapo juu: Banned!
Na Sweetlady hapo chini: Banned!
There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)
haaaa! nimefurahi. kameza zp tupe mfano au kameza meaning of poverty, H.E.P, n.ksio kila kitu kiwe na masilahi ya moja kwa moja kama unavyofikri-kwenye maisha kuna fursa ya ku-joke na kufurahi na hivyo vina tufanya kuwa pamoja kitaifa na kusahau tofauti zetu-sasa wewe na vi-defination vyako ulivyomeza unajiona una mambo ya maana kwa Taifa hili
No Reason......... Banned AgainReason??
Hahahah...BAN HIM/HERhaaaa! nimefurahi. kameza zp tupe mfano au kameza meaning of poverty, H.E.P, n.k
Duh: Papai nalo linakula Ban?Papai Banned
Reason: Kutoelewa vizuri post za wenzie
Duration : Unspecified
No Reason......... Banned Again
Reason: Asking for reason
Hahahah...BAN HIM/HER
Duh: Papai nalo linakula Ban?
Rooooose Maua......!
Hana jeuri ya kumpiga ODM ban! Ntamfuata mpaka chooni nimcharaze bakora!
Kila siku nafanya visa ili nilambe ban naona sipigwi. Mods wananiogopa, nimeamua kwenda mwenyewe Lupango.
Banned: Asprin
We msichana taratibu........... Unamwona huyu ndugu yake hapa chini? Maishara haya hawachelewi kuchukulia siriaz..........Mi kukaa na Bigirita lupango, naogopa kufanya mauaji....Khaaaa!
Jaman Paw where are you????
Plz popote ulipo Ban huyu babu hata kwa siku mbili tuuu!
........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"...............
We msichana taratibu........... Unamwona huyu ndugu yake hapa chini? Maishara haya hawachelewi kuchukulia siriaz..........Mi kukaa na Bigirita lupango, naogopa kufanya mauaji....
Banned: Mentor
Reason: Kumsingizia ODM
Duration: Unspecified....
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.
Period: 1 week
Zingatia sheria na kanuni za JF.
Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.
Wengine wote muwe na weekend njema.
================
Ban prolonged to 2 weeks
holy crap...........Umejifungua babu?:dance:
holy crap...........