kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Baada ya banki kusitisha mkopo kwa wafanyakazi nimejaribu kufanya utafiti ni bank gani inakopesha bila mafanikio!!! nimeuliza CRDB,NMB na Barclay's hakuna inayotoa mikopo mpaka sasa! naomba kujuzwa ni bank gani inatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa sasa?