Banki gani inatoa mikopo kwa wafanyakazi?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Baada ya banki kusitisha mkopo kwa wafanyakazi nimejaribu kufanya utafiti ni bank gani inakopesha bila mafanikio!!! nimeuliza CRDB,NMB na Barclay's hakuna inayotoa mikopo mpaka sasa! naomba kujuzwa ni bank gani inatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa sasa?
 
Wafanyakazi wa wapi ndugu?..wa ndani ( house girls/boys )??
 
Kwa mujibu wa BOT kuna commercial banks 40. Sidhani kama zote hizo zimesitisha mikopo. Nijuavyo mimi zipo benki nyingi tu zinazoendelea kutoa mikopo bila tatizo. kinachotusumbua wengi ni kwamba ikitajwa ishu ya benki basi tunazifikiria CRDB, NMB, NBC labda na Barclays, Stanbic na Postal bank wakati kuna msululu wa benki nzuri tena zenye huduma bora kuliko hizo zenye majina makubwa. Pitia hapa upate list ya mabenki na contacts zao.
 
Baada ya banki kusitisha mkopo kwa wafanyakazi nimejaribu kufanya utafiti ni bank gani inakopesha bila mafanikio!!! nimeuliza CRDB,NMB na Barclay's hakuna inayotoa mikopo mpaka sasa! naomba kujuzwa ni bank gani inatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa sasa?
Equity bank
 
Sio benki. Zote zinakopesha mikopo kwa wafanyakazi nyingine hazikopeshi wafanyakazi kabisa
 
Kwa mujibu wa BOT kuna commercial banks 40. Sidhani kama zote hizo zimesitisha mikopo. Nijuavyo mimi zipo benki nyingi tu zinazoendelea kutoa mikopo bila tatizo. kinachotusumbua wengi ni kwamba ikitajwa ishu ya benki basi tunazifikiria CRDB, NMB, NBC labda na Barclays, Stanbic na Postal bank wakati kuna msululu wa benki nzuri tena zenye huduma bora kuliko hizo zenye majina makubwa. Pitia hapa upate list ya mabenki na contacts zao.
thanx mkuu
 
Back
Top Bottom