Jamani ninaomba mnisaidie ni Bank gani ambayo itanipa mkopo kwa kipindi kifupi?
Ninahitaji BANK ambayo watanipa mkopo ili nilipe deni kidogo la mkopo wa Bank fulani kama 3.7 million ili nipate tofauti yake niendelee na Bank mpya.
Mimi ni mfanyakazi muajiriwa wa shirika. Nina shida imenikuta ya dharura.
Nisaidieni kunitajia hizo Bank niwatafute wapendwa wana Jamii forums.
Asanteni