Benki gani haisumbui kutoa Mkopo na yenye Riba nafuu?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu?

Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
 
Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu...
Mfanyakazi wa serikali!

Nmb watakuwa wamekuboo!(Kenya language) ambao huwa ndiyo kimbilio la wafanyakazi!

Jaribu Exim nasikia wapo vizuri.
 
"Ukiitwa sehemu ukaambiwa kuna fursa ya kiuchumi basi tambua wewe ndiwe fursa"

Alisikika mpita njia flani hivi akiropoka kwa kiswahili maridadi
 
Mfanyakazi wa serikali!

Nmb watakuwa wamekuboo!(Kenya language) ambao huwa ndiyo kimbilio la wafanyakazi!

Jaribu Exim nasikia wapo vizuri.
Hawa jamaa wana sifa gani ? Na atm card yako inaweza tumika kokote kutolea pesa?nami nahitaji
 
Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu.

Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
Amana Bank.
 
Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu?

Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
Kiuhalisia, hakuna benki ambayo kimsingi inampenda mteja. So, ishi na mabenki kwa tahadhari kubwa sana.

So far, katika moja ya benki zangu pendwa kabisa ni Equity. Ila kana changamoto ya matawi nchini, so kama huna ubahili kwenye makato ya visa (kutoa fedha kwenye ATM za mabenki mengine), hamia huku mkuu.
 
Back
Top Bottom