Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,009
- 32,442
Teh teh teh!! Nimecheka sana.kibaraka kutoka mtaa wa ufipa kinondoni na pumba zake kama kawaida.
Teh teh teh!! Nimecheka sana.kibaraka kutoka mtaa wa ufipa kinondoni na pumba zake kama kawaida.
VUTA-NKUVUTE, ni mapema mno kusema lolote, ni mapema mno kusema tumepata raisi tuliemhitaji, naona hata media sana wanaanza kumbeba mheshimiwa raisi, bado, JK nae alianza kwa kasi hii hii, usishangae pumzi ikakata mapema kuliko hata JK!
kibaraka kutoka mtaa wa ufipa kinondoni na pumba zake kama kawaida.
hebu wataalam wa uchumi wanifahamishe
uchumi wa nchi je unakuzwa kwa kubana matumizi ama kwa kufungua mianya mingi ya kuingiza pato ikiwemo pato la kigeni?
kwa mfano:
nyumbani wazazi huwa wanatumia hela kwa uangalifu huku wakiwa wanatafuta mbinu mbadala za kukuza kipato manake with time matumizi na gharama za maisha huwa zinapanda.
je katika uchumi wa taifa hili limekaaje?
Mzee Tupa Tupa nahisi una maumivu ya kushindwa kwa Lowassa, hivyo unajipoza kwa `eti Magufuli anakopi na kupesti aliyoyataka Lowassa`.
Magufuli anajulikana kwa hulka yake ya kiuchapakazi, KUCHUKIA NA KUKEMEA RUSHWA NA UFISADI na haya yote ni tangu alipokuwa waziri ktk wizara mbalimbali. Sasa unaposema Lowassa alichora rais wa kariba ya Magufuli ikiwa Lowassa huyu anasifika kwa RUSHWA NA UFISADI basi ni wazi kuwa MZEE TUPA TUPA UNACHEMBE CHEMBE ZA UNAFKI NA CHUKI.
alete katiba ya waryoba kama kwel anapinga ufisad
Enyi kizazi cha ngano! Eleweni kuwa Watanzania hawako interested na katiba mpya na ndo maana hawakuichagua UKAWA!
I agree. But, I hope as I said
Mzee Tupatupa
Wewe mnafiki si ulisema mabadiliko hayawezi kutokea ndani ya CCM? Leo unarudi kinyumenyume....inaonekana kile kidawati chako cha pale ufipa kimeanza kukuchosha
hata tukikumbuka zile sarakasi kule dodoma kama sio lowasa magufuli asingekua rais na hata hatua anazochukua ni yale ambayo lowasa alikua anaubiri, mfano akuna kwenye kampeni za magufuli alipowahi taja swala la kubana matumizi na kupunguza safari pamoja na kutokubali wakwepa kodi, lakini hayo ndo yalikua mahubiri ya lowasa kwa kweli bila lowasa rais angekuwa membe.
Hata tukikumbuka zile sarakasi kule Dodoma Kama sio lowasa magufuli asingekua rais na hata hatua anazochukua ni yale ambayo lowasa alikua anaubiri, mfano akuna kwenye kampeni za magufuli alipowahi taja swala la kubana matumizi na kupunguza safari pamoja na kutokubali wakwepa kodi, lakini hayo ndo yalikua mahubiri ya lowasa kwa kweli bila lowasa rais angekuwa membe.
Mnyoofu mkuu umeongea vema sana. Jana kuna mahala niliandika, ni wakati sasa wanasiasa hawa kuangalia common interest, ambayo kwa sasa ni Taifa kwanza vyama baadaye. Ni wakati wa hawa wanasiasa kunoa mbongo zao haswaa ili kuhakikisha wana-win wananchi kwa hoja za kitaifa na maslahi ya Taifa zaidi ya vyama.Mie nina support hoja from the creation of Magufuli into the presidency. Kwamba, ni kweli nguvu kubwa ya Lowassa kuutaka urais ndani ya CCM, ndio ilimuibua Magufuli, kama salvage ya chama kugawanyika na kuingia mikononi mwa "Kundi" lisilo faa. Ndio Maana marais wastaafu, kwa kuongozwa na "divine intervention" lakini kibinadamu tutaiita "hekima zao", iliwalazimu kubadilisha upepo na kumpendekeza Magufuli.
Ilipo onekana kuwa ni wazi kabisa mpango ulikuwa ni kumpitisha Membe, Lowassa akaliagiza kundi lake kuhakikisha kuwa Magufuli anapigiwa kura zote ili scheme ya JK isifanikiwe kwa kuwapiga chini Membe na January Makamba. So at this stage, who made Magufuli to become the candidate within CCM ni Lowassa aliyelazimisha wafuasi wake kuhakikisha wanamchagua a less evil and may be in his thinking "the weakest link".
Kama ni karata, then wale marais wastaafu, waliliona hili na wakagundua kuwa jazba ya kundi la Lowassa lisingeruhusu the favorites wa JK kupita, maana pressure ya kundi la Lowassa ndani ya Halmashauri kuu ilikuwa ni kubwa mno.
To conclude, yes katika designing ya Magufuli ndani ya CCM, ashukuriwe lowassa, kwa kuwaomba watu wake wote ndani ya Halmashauri Kuu kuhakikisha Magufuli ndiye anapita. Na baada ya kufanikisha hilo, walishangilia ushindi wa Magufuli, wakijua "wote wamekosa"
Baada ya Magufuli kupitishwa kuwa mgombea wa urais kupitia CCM, pressure kubwa ilitoka kwa wananchi, asije imba mabadiliko asingepita, maana watu wamechoka. Na Magufuli alishauriwa kujinadi mwenyewe zaidi kuliko chama, kwasababu watu walishakosa imani na chama, kwa sababu ya ahadi hewa za miaka nenda miaka rudi, he was a brand of himself, and it worked.
KWa kuwa si mnafiki kama anavyokiri mwenyewe, na miaka 20 akiwa Waziri imempa uzoefu wa jinsi wengi wa wanasiasa na watendaji serikalini walivyo wanafiki na goi goi katika kufanya maamuzi, sio tu amegundua jinsi wananchi wasivyoiamini CCM, bali amegundua kuwa kuyafanyia kazi matakwa ya wananchi ndio mtaji wake wa uhakika, ni kweli yawezekana vyama vingine viliyaona siku nyingi, but for now it is a common interest, people wins, not political parties.
Tumpe muda, kilichobaki ni ku unify wananchi na kuleta siasa safi, ili tuwe na siasa zenye hoja mbadala na sio hizi zinazojikita zaidi kwenye integrity ya mfumo na watu wanaousimamia mfumo huo.