Bango la VodaCom la Kuchangia M4C lina Walakini

Vodacom = Rostam Aziz

He is a true king maker. Hakwepeki.

[h=3]Vodacom Tanzania Partnership[/h] Vodacom Tanzania was licensed in Tanzania with its local partners Planetel Communications
holding 36% and Caspian Construction holding 16%. Later Planetel decreased its stake to 16%, while Caspian’s increased to 19%.

Nyie mlimwa ugali yeye anamwaga mboga, vita vya pazi furaha ya kunguru.Na kasema atawachangia CHADEMA kama wachangiavyo wengine, pana siku atatoa yote mlotenda nae.Kiumacho nini! Tulia dogo joto baridi vumilia tu si umeyataka mwenyewe.Ukiwa bondia usiogepea ngumi za usoni wala huwezi kuchagulia bondiamwenzio pa kukupiga.

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman Rostam Aziz,

Mnae huyu nyie mlimwaga mboga yeye anamwaga ugali, yetu macho tutaona na mshindi. Achane kupapalika tulie tu joto la nini?
 
Kama wewe unaamini kuhusu FREEMASONS usituvuruge...

CHADEMA ni chama cha wapenda maendeleo na mabadiliko.

unaumwa wewe. tena unaumwa maradhi ya ccm ya kuona jambo baya na kulifumbia mdomo kisa utafanywa nini sijuwi. inferiority complex. wangine hatuamini hivyo. you have to understand that si kila mtu alienda Jangwani. wengine tumeona kupitia TV, na kamera za ITV ziliimulika sana hiyo alama tena kwa kurudia rudia.

tumewashtukia.

hata namba 111 333 nina mashaka nayo.

111 = exopolitics.

zinduka.
 
maisha bora kwa kila m-tz huna mashaka nayo!
 
hii yote ni M4C tu, na bado mwaka huu kulingana na ratiba aliyotangaza kamanda Mbowe lazima kuna mtu atakufa kwa presha ya M4C
 
unaumwa wewe. tena unaumwa maradhi ya ccm ya kuona jambo baya na kulifumbia mdomo kisa utafanywa nini sijuwi. inferiority complex. wangine hatuamini hivyo. you have to understand that si kila mtu alienda Jangwani. wengine tumeona kupitia TV, na kamera za ITV ziliimulika sana hiyo alama tena kwa kurudia rudia.

tumewashtukia.

hata namba 111 333 nina mashaka nayo.

111 = exopolitics.

zinduka.

Hujui kama Mbowe ni mwanachama?
 
Mnae huyu nyie mlimwaga mboga yeye anamwaga ugali, yetu macho tutaona na mshindi. Achane kupapalika tulie tu joto la nini?

Na Bint magamba anamwaga uji pale?

Nyie changieni kwa wingi tu kupitia Vodacom. Waswahili hunena "hasira za mkizi?..." malizia mwenyeeeeeewe!
 
Hiyo sio V sign, ni Love sign:

400-05704560w.jpg
6e5eed7722d6.jpg
 
Nowhere to hide. Magamba lazima watimke tu. Propaganda zote + Shibuda na wanafiki wengine hila zao zitashindwa.

Kunako mapambazuko ya 2015, hatutakuwa tunasumbuliwa na vimelea kama hawa voda, tbc nk.

Please CDM only maintain to do what you're rightly do here and now.
 
M4C = Movement for Christ.

wewe ni mlevi wa pombe gani? Gong'o? Upungufu wa akili kujaza pumba humo, au unafikiri hili jukwaa ni la walevi? Christ unamjua wewe au unamtaja tu? Acha ujinga, mwongelee Nape yupo Misenyi, ana operesheni mpya ameanzisha, usitake kukashifu imani za watu.
 
Hujui kama Rostam ndio ana miliki hisa nyingi zaidi Vodacom? na Bint Makamba ndio msemaji mkuu wa voda?

ndugu zangu mnaoanzisha propaganda za chadema na rostam tujitahid kufikilia nje ya mabox ya ukada. Wanachofanya CDM ni kuchangisha hela kwa njia raisi zaidi na ya uhakika. Rostam hajachangia at any tm chadema. Na wewe unayesema tunamtumia kampuni ya rostam wewe utumii M pesa,? Na kama unatumia mpesa kwa unachokisema ni kwamba hata wewe ni sehemu ya ufisadi wa rostam. Vodacom n rostam ni watu wawili tofauti mbele ya sheria.
 
mmekosa ya kuongea sasa mnasema freemason, kweli movement for change inauma! hata kama voda ni ya rostam sisi hatujali, kwanza hatutaki pesa zake,tuta changa pesa zetu kutoka mifukoni mwetu. najua magamba mtaanza kuiandama voda na tutaweka kwa mitandao yote. pressure juu. peoplesssssssssssssssssssss poweeeèèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrr
 
I followed the rally on ITV, that stuff somehow disturbed me too. I ignored it though, thought it was just a visual error. I have not done much research, i hesitate to make tough comments. However, for curiosity, there could be smthg connecting to the 111333 m-pesa number issued, Plz check out 4urselves: 11, 13 and 33: The Illuminati / Freemason Signature
Cheers
 
Vodacom = Rostam Aziz

He is a true king maker. Hakwepeki.

[h=3]Vodacom Tanzania Partnership[/h] Vodacom Tanzania was licensed in Tanzania with its local partners Planetel Communications holding 36% and Caspian Construction holding 16%. Later Planetel decreased its stake to 16%, while Caspian’s increased to 19%.

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman Rostam Aziz,

Umemuabudu sana.... Kalamba nini
 
Kila anachofanya adui yako utakitafutia sababu kionekane kinamatatizo.Mlianza na udini mkaja ukabila mkaja ukanda sasaivi mnakuja na song jipya la freemason.Mlisha chelewa
...sio kuchelewa tu,wamechelewa na pia wamepotea njia...
 
Sina knowledge yoyote ya ufreemason so kuhusu habari hizo naweza kukubali au kukata.
 
Back
Top Bottom