Bango la VodaCom la Kuchangia M4C lina Walakini

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Tizama hii picha.

Bango.jpg

Nafikiri hata ITV walishtukia wakawa wanaimulika sana.

Tuijadili au tuipotezee, lakini hii ni pure conspiracy theory.
 
Vodacom = Rostam Aziz

He is a true king maker. Hakwepeki.

[h=3]Vodacom Tanzania Partnership[/h] Vodacom Tanzania was licensed in Tanzania with its local partners Planetel Communications holding 36% and Caspian Construction holding 16%. Later Planetel decreased its stake to 16%, while Caspian's increased to 19%.

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman Rostam Aziz,
 
Kila anachofanya adui yako utakitafutia sababu kionekane kinamatatizo.Mlianza na udini mkaja ukabila mkaja ukanda sasaivi mnakuja na song jipya la freemason.Mlisha chelewa
 
Rostam Aziz anadaiwa kumiliki Hisa ndani ya kampuni iitwayo VODACOM,Sasa nashangaa leo kuona Vodacom inaanza kutumiwa na CDM kuchangisha fedha za chama kwa ajili ya safari mikoa ya kusini!Naogopa kwa sababu nadhani isije ikawa unakataa kula kinyesi halafu unakula wadudu walao kinyesi.
 
Chadema haihitaji hata senti tano yako wewe, mkeo, babako na wengine wote wanaokuunga mkono. Gamba zito wewe! Chadema itachangiwa na sisi tunaohitaji mabadiliko Tanzania. M4C
 
hakuna mwenyewe kutubu asiyesamehewa, hata vitani ukinyosha mikono juu unasamehewa.
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Rostam ni king maker, hakwepeki.
 
Rostam Aziz anadaiwa kumiliki Hisa ndani ya kampuni iitwayo VODACOM,Sasa nashangaa leo kuona Vodacom inaanza kutumiwa na CDM kuchangisha fedha za chama kwa ajili ya safari mikoa ya kusini!Naogopa kwa sababu nadhani isije ikawa unakataa kula kinyesi halafu unakula wadudu walao kinyesi.

machoko mko wengi tu, ila saa imeshafika ambapo hamtasalia hata mmoja.
 
Chadema haihitaji hata senti tano yako wewe, mkeo, babako na wengine wote wanaokuunga mkono. Gamba zito wewe! Chadema itachangiwa na sisi tunaohitaji mabadiliko Tanzania. M4C

Kwi kwi kwi teh teh teh. Inauhitaji mtandao tu wa Rostam, au sio?
 
Rostam Aziz anadaiwa kumiliki Hisa ndani ya kampuni iitwayo VODACOM,Sasa nashangaa leo kuona Vodacom inaanza kutumiwa na CDM kuchangisha fedha za chama kwa ajili ya safari mikoa ya kusini!Naogopa kwa sababu nadhani isije ikawa unakataa kula kinyesi halafu unakula wadudu walao kinyesi.

Vua gamba vaa gwanda!
 
Vodacom = Rostam

Halafu kuna binti Makamba pale, mmemsahau?

Nna uhakika mlienda kuonana nae, maana PR ya voda bila kumuona yeye haijawa.
 
machoko mko wengi tu, ila saa imeshafika ambapo hamtasalia hata mmoja.

[h=3]Vodacom Tanzania Partnership[/h] Vodacom Tanzania was licensed in Tanzania with its local partners Planetel Communications holding 36% and Caspian Construction holding 16%. Later Planetel decreased its stake to 16%, while Caspian's increased to 19%[SUP]
[/SUP]

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman Rostam Aziz,
 
Kila anachofanya adui yako utakitafutia sababu kionekane kinamatatizo.Mlianza na udini mkaja ukabila mkaja ukanda sasaivi mnakuja na song jipya la freemason.Mlisha chelewa

wewe naona tunaongea lugha moja lakini hatuongei lugha moja.

nachosema mimi ni mwanachadema kwa maana ya mwanachama wa chadema.

picha zilizoko kwenye bango siziafiki. kama itawapendeza makamanda wangu ngazi husika wahakikishe baadhi ya picha zinaondolewa. mimi binafsi sizitaki kwa sababu ni kuwatafutia magamba mwanya wa kusema uzushi wao.
 
Hata mimi nimeishtukia hiyo alama ya shetani. Kwa sisi tunaofahamu mambo ya ughaibuni (West), hiyo ni alama ya shetani.

Mmmhhh!!!!!
 
Back
Top Bottom