Bange yawatokea puani wasomi UDOM

wanaijua warrant hawa police wa bongo! Wanakupekua muda wowote,

Hiyo ya kupekuliwa bila kufuatwa kwa taratibu za kupekuliwa ni nzuri sana maana ukifika mahakamani ukamtaka Polisi aeleze namna alivyokupekuwa na atoe hiyo hati akishindwa hata ukikutwa na bangi utaachiwa maana kwa kesi za jinai lazima ushahidi unaotolewa mahakamani usiwe na shaka yeyote '' ndiyo maana hata kesi ya Jerry Muro ilikuwa haina tatizo kwani Polisi hawakukumbuka hayo yote ushahidi wa polisi walioupeleka mahakamani ulikuwa na mashaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom