Bange yawatokea puani wasomi UDOM

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
msako uliofanywa kitivo cha Elimu na kitivo cha sayansi ya jamii.,sanaa na lugha ulipelekea kuwatia nguvuni vijana kumi...ambao ni
Kitivo cha Elimu

Josephu jona(27
Mwakasitu ikwisa(29
Hamisi issaka(25
Shaban saidi(25 wote ni mwaka 3.
Stambuli Rahim(22 mwaka wa 2.

Kitivo cha sayansi ya jamaii,sanaa na lugha ni.
Mutongore Filbert(27
Samweli Seiboko(24
Ahmed Abdulazizi (20
Nkembo boniface(24 wote hawa ni 3yr.
Walipopekuliwa walikutwa na Misokoto 16 ya bange.
Wasomi wetu hao.
 
Hivi bongo kupekua mtu process ikoje? Unahitaji hata warrant?
Yea, ni lazima uwe na warant, kwa mujibu wa sheria. na shahidi awepo wakati wa ukaguzi, ikiwa ni pamopja na mkaguliwa kuanza kumpekua polisi atakayefanya upekuzi kabla hajaanza upekuzi
 
Kumbe ndio maana UDOM full migomo,bangi mbayaah! Sasa kama wasomi ni wavuta bangi mh! Nashindwa hata kutathini itakuwaje tukiwa ofisi.
 
Dah! Huyo Nkembo hajaacha bangi mpaka sasa.Kweli binadamu wabishi aliangukaga kutoka ghorofa ya pili kutokana na pombe + bangi akaumia mpaka akashindwa kufanya mitihani ya kumaliza semester(UE) na kushindwa graduate this year.
Elimu bila misokoto inawezekana yaani kauli mbiu nyingine hazitofautiani na usikojoe hapa watu watakojoa tu.
 
Kwani bangi ni haramu???????????
hivi serikali iko wapi
@haijui kuwa RIZILA kazi yake ni kunyongea misokoto na TRA hujipatia mapato hapo?
@viwanja karibu vyote vya mpira hapa dsm ni sehemu ya kukutanisha vijana na kutumia vilevyi tena bangi kwa wingi?
@hivi yule mwakilish wetu balozi wa ITALY ambaye hutumia hii kitu hadharani yeye anaogozwa na sheria zip?
@hv unakumbuka issue ya Mkapa kuwanunulia Bangi gunia jamaa wa Mererani ili waingie ndani ya migodi kuokoa wenzao ktk moja ya ajali za migodini
@mbona hapa ubungo ni kama bidhaa halali tena inavutwa hadharani
@mbona maaskar kibao tu wanatumia hii kitu
@aggggrrrriiiiiiiiiiiiiiiiii shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit sana serikali nchi imeharibika kila kona,pale kisongo Arusha kuna kituo cha polisi na nyumba ya jiran kuna bar maarufu kwa wanajeshi kupata chaji wakielekea Monduli na kambi zingne....harufu nje nje
 
Nani aliyeeendesha ukaguzi, polisi au uongozi wa chuo?

What led to the exercise??
 
Nahisi kuna kitu kingine kilichopelekea hawa watu kukamatwa! Mbona kama ni kuvuta bangi hata hao waliokuja kuwakamata wengi wao ni wavuta bangi? Sekondari watoto kibao wanatumia,! Kama serikali inaadhima ya kukomesha hili ianze na viongozi wauza madawa ya kulevya waliosemekana orodha yao ipo, maaskari wala ndumu, hawa wengine watakosa pa kuyapata tu! Tatizo serikali inalea upuuzi! Kwa hiyo tuamini wavuta bangi udom wameisha!?
 
Acheni masihara jamani.Bangi ni kilevi kama vilivyo vilev vingine....mbona JAMAICA wametengat maeneo ya kulia mjani?Kuna pombe kali kuliko hata bangi....kuna babu namfaham vizuri kaanza kula mjani toka kijana mpaka sasa mzeee na yupo fit sanaa.
KILA KITU KIKIZIDI KINA MADHARA.
 
Mwaka huu sapu zitaongezeka sana maana dili limestukiwa. kuna watu bila msokoto kitabu hakipandi ati!
 
Kumbe ndio maana UDOM full migomo,bangi mbayaah! Sasa kama wasomi ni wavuta bangi mh! Nashindwa hata kutathini itakuwaje tukiwa ofisi.

Huna akili wewe, wamekamatwa watu 16, Udom kuna crowd ya around 20,000 students. Una'generalize vipi kwamba wote wavuta bangi ndo maana migomo mingi?

By the way, sababu za migomo yao zinaleta mantiki unless otherwise unasupport magamba kufa na kupona. Kwa mfano, mgomo wa mwisho pale chuoni ulikuwa kuhusu madai ya mafunzo kwa vitendo. Wanachuo wanataka mafunzo, serikali haitaki. Nani mvuta bangi hapo?
 
Mwaka huu sapu zitaongezeka sana maana dili limestukiwa. kuna watu bila msokoto kitabu hakipandi ati!

Public opinion..good.Kama hauwezi kufaulu kawaida plan B ni muhimu afterall tuko Tanzania watu wanaiba na bado wakipanda jukwaani wanapigiwa makofi.
 
Wamefanya kosa kiukweli, lakini lengo la upekuzi si hilo. Lengo ni kushusha hadhi na heshima ya wanafunzi wa vyuo vikuu ili wasisikilizwe hata pale wanaponyimwa haki zao.
Nawashauri wanafunzi waliobaki, watoe tamko la kulaani kitendo kilichofanywa na wenzao wachache then waende mbali kuanisha uwepo wa tabia hizi sehemu mbalimbali. Hadi kwenye taasisi za serikali kuna wavuta bangi wengi tu.
Hivi mnajua wanajeshi na polisi wanavuta sana bangi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom