Udom na ombwe la itikadi za siasa mpaka lini?????????????????????????

My struggle

Member
Nov 8, 2011
15
1
Ndugu wana jamii forum naom ba tusaidiane katika swali langu hili labda kwasababu jf ni mtandao makin na wenye wachambuzi makin pia sina hofu tutasaidiana katika hili. Leo hii nazungumzia chuo kikuu cha Dodoma Chuo ambacho kimejengwa kwa sifa kubwa na nin chuo kikubwa Tanzania,Africa mashariki na kati. Chuo hicho licha ya kuwa na sifa kabamb e lakin wanao kijua vizuri wanakiita chuo cha kata,kwasababu ambazo wao wanazijua lakin nyingine zko wazi kabisa. Moja ya sababu hzo ni kutopkuwa wanafunzi wake kutokupata mafunzo kwa vitendo(FIELD). Na hii ndo mada yangu kuu leo.

Elimu ya chuo kikuu imetengezwa na vitu vitatu.
1) MAFUNZO KWA VITENDO[ field practical] (2)THEORY [Nadharia] (3) RESEARCH (Utafiti). Hapo unakuwa umetengeneza degree ilokamilika. Lakini kwa kukosa vitu hivi pale UDOM na kukawepo kimoja tu THEORY, hali hii imekuwa ikileta mvutano na migogoro isokuwa ya lazima pale chuoni na pale mtu anapojitokeza kuhoji anahusishwa moja kwa moja na CHADEMA kwamba katumwam na hivyo kupelekea kusdhughulikiwa ipasavyo na ikibidi kupoteza masomo yake. mfano mwaka 2009 Nov. ulitokea mgomo wa field maarufu kama mgomo wa SINGO jina la alokuwa raisi wa kitivo cha social science and humanities. Mgomo huo ulipelekea kuja kwa Shukuru Kawambwa na Shamsi Vuai Naodha na kuwahaidi wanaudom kwamba mmwaka unaofuatia wangeenda field wote. Hivyo kila mmoja akalidhia kauli yake. Kweli mwaka 2010 taratibu za wanafunzi kwenda field zilifanyika klila mwanUDOM akawa tiyari kapatiwa ofisi atakakayo fanyia field,katika hatua za mwisho wanafunzi wanasigne akaun zao ili wapate kuigiziwa pesa yao yas field kabla ya kuiongia kwenye mitihasni ta UE, barua iolikuyjaz kutoka TCU uikiwa na sahini ya kawambwa kwamba wanafunzi hawataenda tena field bil;a kutoa sababu hata moja ila it was an oder. Jambo hilo halikukubalika kwa
kwa wanafunzi mna hivyo kupelekera mgomo mklubwa uliopelekea kitivo kizimima cha sayansi ya jamii sanaa ya lugha kufungwa.Wiki moja baada ya chuo kufungwa Wakuu wa mikoa yote Tanzania walitembelea chuoni hapo na kunukuliwa na gazeti la mwananchi wakimwambia mkuu wa chuo prof.Idrisa kikula kwamba "ukianza kuludisha wanafunzi warudishe CCM tu CHADEMA achana nao kwan wao hawana shukran kazi yao kulalamika tu na kuandamana" kauli hiyo ilizua maswali mengi kichwan mwangu ambayo mpaka leo sijayapatia majibu stahiki. Mpaka sasa ninapoingia mitambon wanafunzi wapatao 645 hawako chuonui sasa sijui hao ndo CHADEMA AU?????????

Ukiachilia mbnali hilop uchaguzi mdogo wa Almeru mashariki juzi baada ya CHADEMA kuibuka kidedea wapenzi wa chama hicho chuoni hapo walikodi gari aina ya COSTA kwenda mjini kusherehekea ushindi wa Arumeru Mashariki lakin mpaka sasa ninapoleta mada hii kwenu wanafunzi wapatao 25 wameshaondolewa chuoni kimyakimya kwa kosa la kusherehekea uhsndi wa chama chao. sasa jaman hii nchi niyamfumo upi mbona nashindwa kuelewa??

Wanafamnya hivyo kwa kutumia kigezo cha kwamb a siasa haziruhusiwi vyuoni lakin utazuiaje siasa vyuon wakati bado kuna somop la siasa?????????????. basi lifutwe. je wasomi wa vyuo vikuu kwenye mchakato wa kutengeneza katiba mpya nafasi yao haipo?? na kama ipo hyo sio siasa vyuoni??? na kama hauipo msomi atakuwa ana mchango gani katika jamii??? Je tutafika kwa mtindo wa namna hii??????? Karibu tuchangie. NAWASILISHA HOJA.
 
Dah uko right kabisa mkuu, mimi ni mmoja kati ya wahanga wa mgomo wa mwezi june 2011 hadi sasa niko nyumbani. Tatizo viongozi wetu wanaingiza u ccm kwenye maswala ya msingi mwisho wa siku ukiwa na mawazo tofauti na wao unaonekana ccm
 
poleni sana,Tatizo la hapo udom in uongozi wenye matatizo makubwa sana,msihofu mabadiliko yatakuja tu,na hawataweza kuwayazuia,tatizo la chuo hicho viongozi wake hasa wakubwa wanamipango yenye lengo la kuratibu hofu kwa wanafunzi husika,ili kutimiza matakwa yao kisiasa na kuacha ukweli husika,mipango yao watekelezaji wake wakubwa ni baadhi ya wanafunzi wenzenu hapo chuoni ila ninachowaambia ni kwamba msikate tamaa endeleeni kusimamia haki kwa maana haitapotea bali itacheleweshwa tu !!!!!!
Ndugu wana jamii forum naom ba tusaidiane katika swali langu hili labda kwasababu jf ni mtandao makin na wenye wachambuzi makin pia sina hofu tutasaidiana katika hili. Leo hii nazungumzia chuo kikuu cha Dodoma Chuo ambacho kimejengwa kwa sifa kubwa na nin chuo kikubwa Tanzania,Africa mashariki na kati. Chuo hicho licha ya kuwa na sifa kabamb e lakin wanao kijua vizuri wanakiita chuo cha kata,kwasababu ambazo wao wanazijua lakin nyingine zko wazi kabisa. Moja ya sababu hzo ni kutopkuwa wanafunzi wake kutokupata mafunzo kwa vitendo(FIELD). Na hii ndo mada yangu kuu leo.

Elimu ya chuo kikuu imetengezwa na vitu vitatu.
1) MAFUNZO KWA VITENDO[ field practical] (2)THEORY [Nadharia] (3) RESEARCH (Utafiti). Hapo unakuwa umetengeneza degree ilokamilika. Lakini kwa kukosa vitu hivi pale UDOM na kukawepo kimoja tu THEORY, hali hii imekuwa ikileta mvutano na migogoro isokuwa ya lazima pale chuoni na pale mtu anapojitokeza kuhoji anahusishwa moja kwa moja na CHADEMA kwamba katumwam na hivyo kupelekea kusdhughulikiwa ipasavyo na ikibidi kupoteza masomo yake. mfano mwaka 2009 Nov. ulitokea mgomo wa field maarufu kama mgomo wa SINGO jina la alokuwa raisi wa kitivo cha social science and humanities. Mgomo huo ulipelekea kuja kwa Shukuru Kawambwa na Shamsi Vuai Naodha na kuwahaidi wanaudom kwamba mmwaka unaofuatia wangeenda field wote. Hivyo kila mmoja akalidhia kauli yake. Kweli mwaka 2010 taratibu za wanafunzi kwenda field zilifanyika klila mwanUDOM akawa tiyari kapatiwa ofisi atakakayo fanyia field,katika hatua za mwisho wanafunzi wanasigne akaun zao ili wapate kuigiziwa pesa yao yas field kabla ya kuiongia kwenye mitihasni ta UE, barua iolikuyjaz kutoka TCU uikiwa na sahini ya kawambwa kwamba wanafunzi hawataenda tena field bil;a kutoa sababu hata moja ila it was an oder. Jambo hilo halikukubalika kwa
kwa wanafunzi mna hivyo kupelekera mgomo mklubwa uliopelekea kitivo kizimima cha sayansi ya jamii sanaa ya lugha kufungwa.Wiki moja baada ya chuo kufungwa Wakuu wa mikoa yote Tanzania walitembelea chuoni hapo na kunukuliwa na gazeti la mwananchi wakimwambia mkuu wa chuo prof.Idrisa kikula kwamba "ukianza kuludisha wanafunzi warudishe CCM tu CHADEMA achana nao kwan wao hawana shukran kazi yao kulalamika tu na kuandamana" kauli hiyo ilizua maswali mengi kichwan mwangu ambayo mpaka leo sijayapatia majibu stahiki. Mpaka sasa ninapoingia mitambon wanafunzi wapatao 645 hawako chuonui sasa sijui hao ndo CHADEMA AU?????????

Ukiachilia mbnali hilop uchaguzi mdogo wa Almeru mashariki juzi baada ya CHADEMA kuibuka kidedea wapenzi wa chama hicho chuoni hapo walikodi gari aina ya COSTA kwenda mjini kusherehekea ushindi wa Arumeru Mashariki lakin mpaka sasa ninapoleta mada hii kwenu wanafunzi wapatao 25 wameshaondolewa chuoni kimyakimya kwa kosa la kusherehekea uhsndi wa chama chao. sasa jaman hii nchi niyamfumo upi mbona nashindwa kuelewa??

Wanafamnya hivyo kwa kutumia kigezo cha kwamb a siasa haziruhusiwi vyuoni lakin utazuiaje siasa vyuon wakati bado kuna somop la siasa?????????????. basi lifutwe. je wasomi wa vyuo vikuu kwenye mchakato wa kutengeneza katiba mpya nafasi yao haipo?? na kama ipo hyo sio siasa vyuoni??? na kama hauipo msomi atakuwa ana mchango gani katika jamii??? Je tutafika kwa mtindo wa namna hii??????? Karibu tuchangie. NAWASILISHA HOJA.
 
Jitahidi kuandika mada yako vizuri. Ukweli ni kwamba JK kapandikiza sana UDINI na U-CCM UDOM. Ukiwa against tu na wao wanakutimua. Hii dhambi itakitafuna sana hicho chuo. Tume iundwe ili kuushughulikia huo mpasuko haraka.
 
UDOM, UDOM wewe soma umalize, hakuna tofauti ya vyuo vyote ni walewale, maliza ingia mtaani upambane na life, ugumu wa maisha hautegemei chuo chako!!!!!!!!!!!!!
 
Poleni sana: Udom wanaamini ccm itadumu milele madarakani. Je cdm ikishika dola nayo ifukuze wana ccm. Sisi sote ni watanzania na udom inatoa huduma kwa watanzania wote.Ole wake kikula maana cdm ikishika dola atalia na kusaga meno.
 
Hapo Udom nimesoma, tatizo la hapo ni uongozi mbaya wa kikula na mlacha, kikula muda wake wa kustaafu umefika lakini anaachwa mpaka amalize malengo yake
Lingine ni udini, ni tatizo sana hapo chuoni, mimi nashangaa sijui walitaka kiwe chuo cha ccm na dini fulani tu.
Lakini mabadiliko yaja, very soon huu utawala dhalimu utafika kikomo
 
Tatizo la UDOM in udini na umimi wa Mlacha na Kikula, kiufupi nilipaswa kufundisha pale lakini kutokana na mitazamo ya hao watu hapana niliona bora nifanye kazi zingine. UDOM itabadilika kama wadini hao wataondoka hapo PROF MLACHA SHABAN NA PROF KIKULA RAJAB
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom