akifika tu ubalozini mwenzako anakamata benz
ha haa haaa! Dr Kamala bana acha kamba hiyo Nissan ndio unachoshea adui vipi ile Prado umeificha wapi?
Dr Kamala mbona umepiga picha kwa nje kama kweli huwa unaendesha hiyo Nissan ingia ndani ya gari usiishie kufungua mlango.
Tangia vacancy ilipotokea Belgium, mpaka balozi alipoteuliwa, mpaka alipomaliza kuzunguka "kuaga" marais watano na Waziri Mkuu, Wakuu wa majeshi wanne, Magereza, Polisi, Ulinzi na JKT, yapata mwaka mmoja sasa unakaribia.
Which means really hakuna kazi huko ubalozini, tufute nyingi ya hizi ofisi nje, zinatula hela ya kodi tu!
ha haa haaa! Dr Kamala bana acha kamba hiyo Nissan ndio unachoshea adui vipi ile Prado umeificha wapi?
Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
ha haa haaa! Dr Kamala bana acha kamba hiyo Nissan ndio unachoshea adui vipi ile Prado umeificha wapi?
Du, jamaa mtunzaji! Hiki kigari bado anacho tu! Nakumbuka alikinunua mwaka 1998 aliporudi toka masomoni Uholanzi wakati huo akiwa Lecturer pale Mzumbe. Alikuwa anatukongaje nacho? Mara anakuja kusimamia test pale NAH (Wembley) akiwa ameshika redbull mkononi anakunywa tartiiiiib, 'afu saa hizo hatuna boom. Jamaa ni bishoo sio pole pole, labda awe amekua akaacha siku hizi.
Sema mengine ila hana magari mengi, ukichukulia kuwa alikuwa mbunge kwa miaka kumi na waziri. Mkewe ambaye ni muajiriiwa anatembelea Noah old model na walikuwa pia na nissan terrano old model kabisa. Sasa sijui gari nyingi zipi unaongelea. Na kumbuka hawezi kuwa na kipato kidogo kiasi hicho ila analinganishwa tu na wenzie waliokuwa na vyeo kama vyake.Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
umemfagilia coz ni jiran.rafiki ako?
au kampen dzain?