Kiganyi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,242
- 765
Mheshimiwa Dk. Diodorus Kamala. Anaishi Msamvu, nyumba ya jirani na Bi Mkora wangu. Jana usiku nilipiga stori na Balozi Kamala, tumekuwa marafiki. Na picha hizo ni leo asubuhi. Balozi anajiandaa kwenda Dar es Salaam kwa Nissan yake na mimi punde naelekea kibaruani kwangu , Bigwa, nje kidogo ya Morogoro Mjini. Namtakia Balozi Kamala, safari njema ya Dar na Ubelgiji.:smile-big::Cry:
SOSI: Mjengwa! Msininukuu mimi Kiganyi wa JF!
SOSI: Mjengwa! Msininukuu mimi Kiganyi wa JF!