Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Nimesikia tetesi kwamba balozi wa Uganda Nchini Kenya amerejea Uganda.
Je! Sabu za kuondoka zina uhusiano na mgogoro kati ya Kenya na Uganda kuhusu kisiwa cha Migingo?
Yeyote mwenye habari zaidi naomba atujulishe.