Balozi wa Uingereza nchini Kenya abadilishwa

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
Serikali ya Uingereza imemteua Neil Wigan kuwa Balozi mpya wa taifa hilo nchini Kenya, akichukua nafasi ya Jane Marriott ambaye amedumu kwa miaka 4.

Balozi Wigan anatarajiwa kuanza kazi rasmi Julai, 2023.
20230419_164802.jpg
 
Wameona wamletee anaendana na mshike mshike na yanayoendelea huko
Utakuta ni mjeda mstaafu au jasusi mbobezi
Ngoja nisubiri hapa cv
 
Daa nimemsoma kidogo
Jamaa kapita Somalia, Congo na Israel
Ndio maana wamemleta Kenya
 
Back
Top Bottom