vituko,sidhani kama itakuwa hivyo,kk lazima awe amepitia cheo cha uktbmkuu
Markia1 check
JK amemteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
vituko,sidhani kama itakuwa hivyo,kk lazima awe amepitia cheo cha uktbmkuu
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja na kygubijwa na lawama nyingi Bw. Luhanjo a.k.a "Chifu". Hizo ndizo tetesi tulizozisikia leo.
Huu upuuzi utaisha lini? Hii nchi inaonekana ukitaka kuukwaa uongozi lazima uwe mtuhumiwa hahahhah bongo raha kweli kweli! CCM mbona mnatuchosha hivi lakini huu umangimeza utaisha lini? Kupeana madaraka kama vile watanzania wengine ni mbumbumbu mzungu wa reli. Watu wazee mvi mpaka oops! sorry.
Kwa uchache
OMBENI Y. SEFUE
Ambassador Ombeni Yohana SEFUE formally began his tour of duty as Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York on 31st August, 2010. Before that he was Tanzania's Ambassador to the United States of America in Washington D.C. from 15th June, 2007 to 14th August, 2010. Previously, Ambassador Sefue served as his country's High Commissioner (Ambassador) to Canada from October 2005 to June 2007.
A career diplomat, Ambassador Sefue also served as Counselor in the Embassy of Tanzania in Stockholm, Sweden, between 1987 and 1992.
Between 1993 and 2005, he worked as Speechwriter and Personal Assistant to two Presidents of Tanzania- President Ali Hassan Mwinyi (1993-1995) and President Benjamin William Mkapa (1995–2005).
Among other things, Ambassador Sefue assisted President Mkapa when he served on the Commission for Africa (The Blair Commission) that produced its report, Our Common Interest: Report of the Commission for Africa in March 2005, and participated with him at the G8 Summit session that discussed the report at Gleneagles in early July 2005.
He also worked with President Mkapa when the president served as Co-Chair of the ILO World Commission on the Social Dimension of Globalization between 2002 and 2004, participating in the preparation of the Commission's report, A Fair Globalization: Creating Opportunities For All, issued in February 2004.
Ambassador Sefue completed his undergraduate studies in Public Administration in 1977 at what is today Mzumbe University in Morogoro Tanzania. He earned an M.A. in Public Policy and Administration from the Institute of Social Studies (ISS) in The Hague, The Netherlands, (1981). He holds a Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy from the Tanzania-Mozambique Center for Foreign Relations in Dar es Salaam, Tanzania (1986).
Ambassador Sefue is married to Mrs. Anita M. Sefue and they have two children.
A good CV. mafisadi wasimharibu tu....
huyu jamaa safi sana .......as long as jk yupo madarakani sioni kama luhanjo ataenda mahakani
Si ghafla msikie JK kampa ubalozi?
Nawaonea huruma msiojua ukilaza wa j, mnamatumaini naye, hakuna jipya kwa jk, hata kama akiambiwa abadilishe tena baraza la mawazili ni yaleyale.Rais Kikwete anaonyesha ana imani ya mrengo kwa kidoplomasia... anaamini watu wanaofanya kazi foreign affairs na sio kwingineko
hii ni hatari kweli kwa siasa za nchi yetu; wako weak sana
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja na kygubijwa na lawama nyingi Bw. Luhanjo a.k.a "Chifu". Hizo ndizo tetesi tulizozisikia leo.
Kwa uchache
OMBENI Y. SEFUE
Ambassador Ombeni Yohana SEFUE formally began his tour of duty as Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York on 31st August, 2010. Before that he was Tanzania's Ambassador to the United States of America in Washington D.C. from 15th June, 2007 to 14th August, 2010. Previously, Ambassador Sefue served as his country's High Commissioner (Ambassador) to Canada from October 2005 to June 2007.
A career diplomat, Ambassador Sefue also served as Counselor in the Embassy of Tanzania in Stockholm, Sweden, between 1987 and 1992.
Between 1993 and 2005, he worked as Speechwriter and Personal Assistant to two Presidents of Tanzania President Ali Hassan Mwinyi (1993-1995) and President Benjamin William Mkapa (19952005).
Among other things, Ambassador Sefue assisted President Mkapa when he served on the Commission for Africa (The Blair Commission) that produced its report, Our Common Interest: Report of the Commission for Africa in March 2005, and participated with him at the G8 Summit session that discussed the report at Gleneagles in early July 2005.
He also worked with President Mkapa when the president served as Co-Chair of the ILO World Commission on the Social Dimension of Globalization between 2002 and 2004, participating in the preparation of the Commissions report, A Fair Globalization: Creating Opportunities For All, issued in February 2004.
Ambassador Sefue completed his undergraduate studies in Public Administration in 1977 at what is today Mzumbe University in Morogoro Tanzania. He earned an M.A. in Public Policy and Administration from the Institute of Social Studies (ISS) in The Hague, The Netherlands, (1981). He holds a Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy from the Tanzania-Mozambique Center for Foreign Relations in Dar es Salaam, Tanzania (1986).
Ambassador Sefue is married to Mrs. Anita M. Sefue and they have two children.
Yaani kifupi ni kua wabadilishane ulaji!!!
Kwani ubalozi hauna kikomo katika umri??
....ndiyo itakavyokuwa hivyo Mkuu....si unaona wale waliopigwa mweleka kwenye Ubunge 2010 wengi wao sasa ni Mabalozi.
Check hapo kwenye deep green, hii inchi ya ajabu sana, sasa kama tamko linalotoka Ikulu linakuwa hivi tutegemee nini ma tamko ya wakuu wa wilaya.
Mkuu Invisible katika Profile ya Mzee Sefue ongezea kwamba ameoa nyumba moja na Rais Mstaafu Mkapa!
Kuna watu ambao katika serikali ya ccm yatupasa kujua wakati wote wako wapi na wanafanya nini. Ombeni Sefue ni mmoja wa watu hao.
UNA undugu na huyo Sefue?????Kiukweli Cv ya Sefue inatisha!!!!!!!
Halafu ni mbabu huyo, naiman hana miaka mitatu hadi astahafu pia, hivi hakuna young brains za kushika ofisi nyeti kama hizi??uwezo wa wazee wengi waliopo kwenye system ya Serikali hii ya ccm ulishafika kikomo. Tunahitaji fresh brains labda zitainusuru nchi na mazishi ya kiuchumi mana kama kuporomoka tulishaga poromoka long time!Watupiana vijiti tu vya kutafuna kodi zetu, utafikiri hii Tanganyika wameumbiwa wao na mungu. Kwani hakuna watu wengine waoweza kuongoz nchii mpaka walewale wa nendarudi? Mtu akiharibu anahamishiwa wizara nyingine aende akaharibu. Tanganyika yote watu wenye elimu ni wa CCM?