Balozi Ombeni Sefue amrithi Luhanjo

Wakuu kuuliza si ujinga;

Mara baada ya kupitia hiyo taarifa toka ikulu hapo chini mwenzenu nimetatizwa kidogo. Waku hebu nijibuni hili swali langu dogo tu.

Hivi huyu Mkurugenzi wetu wa kurugenzi za mawasiliano kule ikulu yetu Magogoni,
dr Salva Rweyemamu huwa ni wa kisomo cha darasa la ngapi?

Hicho ki-taito kabla ya jina lake ni zile za mabwana afya na mifugo zile za siku zote tulizozizoea kule mitaani kwetu au ni ile yenyewe yenyewe ya kiukweli?

Urgent Press Notice

Shortly, (i) there are will be (there shall be / State House is expected to announce / to appoint / to make changes ...) a (ii) very important (ni kitu gani ambacho ni VERY IMPORTANT katika fisadi mpya kupata ulaji usiokua na tija kwa walipakodi?) statement from the State House.

Please be on the alert for the (iii) satement (STATEMENT) and (iv) briefly delay (hivi hili la baadhi ya taarifa za ikulu kutolewa usiku usiku huwa ni kutokana na ukweli kwamba mchana huwa wanakua bize sana au ni fesheni tu) sending your publications to bed.

Sent by Salva Rweyemamu – Director of Presidential Communications – State House – December 30, 2011.
 
Wakuu kuuliza si ujinga;

Mara baada ya kupitia hiyo taarifa toka ikulu hapo chini mwenzenu nimetatizwa kidogo. Waku hebu nijibuni hili swali langu dogo tu.

Hivi huyu Mkurugenzi wetu wa kurugenzi za mawasiliano kule ikulu yetu Magogoni,
dr Salva Rweyemamu huwa ni wa kisomo cha darasa la ngapi?

Hicho ki-taito kabla ya jina lake ni zile za mabwana afya na mifugo zile za siku zote tulizozizoea kule mitaani kwetu au ni ile yenyewe yenyewe ya kiukweli?
Mkuu Huyo aliyekuwa Ikulu Mawasiliano ni Mnywaruanda, tumsamehe, Hakuna Mtanzania mwenye elimu zaidi ya huyo aliyepo sasa
 
Kwa mujibu wa ujumbe wa Salva Rweyemamu alioutuma kwa vyombo vya habari inaelekea dakika yoyote atatangazwa anayechukua nafasi ya Luhanjo dakika yoyote kuanzia sasa:

JK karejea leo jijini Dar na inavyotakiwa ni mrithi wa Luhanjo kuapishwa kesho... LAKINI ieleweke kuwa lolote laweza kujitokeza!

Why so sudden? Why so urgent?
What do they hide? Au wanaogopa pingamizi la Mahakama? Kama ndio, Hilo pingamizi linawezekana?
 
mwanakijiji mwisho wa maneno............................ asubuhi asubuhi alidamka na hii kitu...................

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/207303-balozi-ombeni-sefue-kumrithi-luhanjo.html

duh, JF mwisho........................ ila .............................. watu wanadaka nyepesinyepesi ni balaa...................... hongera zenu wakuu.....................

Mwanakijiji Source yake ipo Magogoni, ana watu wake. Huwa anapewa habari kabla ya kina Invisible kujua
 
Mkuu Huyo aliyekuwa Ikulu Mawasiliano ni Mnywaruanda, tumsamehe, Hakuna Mtanzania mwenye elimu zaidi ya huyo aliyepo sasa
viongoziikulu.JPG
 
Ndio maanake mkuu!!

Hata jua linapochomoza, mwanga wake huwapiga kwanza usoni wale watu waliosimama kabla ya kuwamulika wale wengine waliochuchumaa!

Nadhani hilo halina ubishi.

Mwanakijiji Source yake ipo Magogoni, ana watu wake. Huwa anapewa habari kabla ya kina Invisible kujua
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja na kygubijwa na lawama nyingi Bw. Luhanjo a.k.a "Chifu". Hizo ndizo tetesi tulizozisikia leo.
Kweli MM ni mtubwa intelejesia ni kweli sasa balozi ombeni kawa KMK TBC 1 wametangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku,hapa JF kweli chiboko,mambo ya jikoni yanajulikana mapemaa
 
Uswahiba unaendelea dah nchi hii bwana maisha kama filamu. Vijana Wasomi wanalalama ajira bado wastaafu wanapewa kirahisi tu. Kaaazi kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom