Balozi Mulamula aula ikulu

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Jk amteua balozi Reberata Mulamula kuwa msaidizi wa Rais kwa maswala ya diplomasia.
 
Kumpa Mulamula Ushauri wa Rais ni kumvunjia hadhi yake. Mama huyu ni kichwa, ana akili sana, alipaswa kupewa WALAU ubunge wa jimbo la IKULU kama Meghji then apewe na uwaziri kamili wa wizara kubwa. Kwenda kumshauri Rais wetu ni kumpotezea muda mama huyu maana rais wetu JK jamani HASHAURIKI!
 
TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI

Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YADIPLOMASIA.

Kablaya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za MaziwaMakuu.Uteuzihuu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.

Mwisho.I
metolewana
:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dares Salaam.
14Machi, 2012
 
mpe kazi inayoeleweka, washauri wako c akina kingunge na msekwa. Bora hata ungempa uwazi wa afrika mashariki samweli 6 ukampa wizara ya afya. Tumia bongo yako mheshimiwa hatukuelewi.
 
kumshauri mkwele ni sawa na kushauri jiwe. ni kupoteza muda na fedha za walipa kodi.
 
Wazazi, huyu mama atajivunjia heshima tu kwa kula sahani moja na mkwele utamshauri nini mtu kama huyu?,mama MULAMULA kajifanyie shughuli zako mzazi hapo utakula kashfa mwanzo mwisho .Mkwele kwa kujitengenezea mipira hajambo!
 
Ambassador-Liberata-Mulamula.jpg

Kiongozi wetu ana mawazo mafupi sana. yaani anafikiri atampanda Balozi Mulamula! thubutu!
 
Aula???
••••••••••

"Kwa mtu mwaminifu kabisa kabisa ikulu ni mzigo"---Mwl J.K Nyerere
 
Rais wetu angekuwa anashaurika basi huyu angekuwa anamfaa. but hamna kitu kitakacho fanyika wala mabadiliko yoyote zaidi ya kusubili miaka yao mitatu iishe wakale pension.
 
kazi ya kumshauri JK kwa kweli ni kupoteza muda na hekima zako jamaa hashauriki na nadhani atakuwa amejisogezea mboga kwa fikra zake na sio mshauri
 
Samahani kuuliza si ujinga. Je wizara ya mambo ya nje siyo yenye jukumu la kumshauri raisi kwenye mambo ya diplomasia? I mean hiyo siyo kazi ya waziri wa mambo ya nje? Nauliza tu...
 
hongera mum, huyu Mr president hashauriki lakini maana kiburi,ubishi na kutokujali kumemzidi!:peep:
 
Back
Top Bottom