Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Kutokana na hii professional mis-conduct, kuna kipengere chochote cha sheria kinachoweza kutumika kushitaki kampuni hiyo?
Watu gani unaosema??????.... kama ni watanzania waishio Marekani WAO WANAWAZA KUVAA FUBU habari za huku hata hawajui kinachondelea.... wao wanawaza kupata uraia wa huko wala sio kurudi
Matatizo haya tumeyataka wenyewe KWA KUMPA KIKWETE USHINDI WA KISHINDO 2005
Who knows, may be Bongo kuna shortage ya competent attorneys.:whoo:Ukisoma websites za hizi law firms utaoona Wazungu wapo.
Unajiuliza Je Hakuna Watanzania wenye ujuzi wa sheria kiasi chakuajiri Wazungu hawa?
Je una hela gani ya kuwalipa hawa WAZUNGU?
Ah,kama utafanya mikataba fake kwa niaba ya serikali,na kulipwa billioni 8 na BOT au billioni 5 za TANESCO unaweza kuajiri foreigners .
Do you think hizi firm zingekuwa zinashughulikia Human Rights only,hawa Wazungu wangeajiriwa?
WAKE UP TANZANIA,nchi inaliwa na mafisadi papa na vibaraka wao
Nimeingia kwenye website ya REX Attorneys na kuona kuwa Balozi Maajar bado ni partner wa hii firm.Hii ni AIBU kubwa kwa law proffesion ya TANZANIA.
Jamani hapa hamuoni conflict of Interests?Nchi nyingi zenye democracy kamili,ukichaguliwa kuwa na nafasi kama hiyo unabidi ukate ties.
Kuna thread hapa kuwa REX attorneys imelipwa whooping Ths 5 billion kuiwakilisha TANESCO against DOWANS!!!!Tukumbuke TANESCO ni chombo cha serikali.It means naye amepata share hii ya Tshs 5 billioni hela za wavuja jasho Tanzania.
Mimi sijui sheria,labda jamaa zetu mliosoma sheria,au mjumbe toka TANGANYIKA LAWLESS SOCIETY atuambie hii ni poa tu kuwa balozi mteule anayewakilisha nchi ya Tz huko USA ,also ni private employed na local firm.
Tunazungumzia kuwa REX attorneys ya Balozi Maajar inasemekana imelipwa Tshs 5 billion za taxpayers kuidefend Tanesco against Dowans!!!
Is there any conflict of interest ?Forget about ICC judgement!!!!
REX attorneys wamewakilisha RICHMOND na TANESCO at the same time wamewakilisha DOWANS.
Hapo ndipo NIMECHOKA kabisa
Mkuu nilisikia mahali kua MKWERE ana mtoto na huyu mama!na walisoma pamoja udsm
Huyu bwana aingizwe kwenye kitabu cha guiness.
Kwani si kulikuwa na wakati huyu mama aliomba kwa president aachane na ubalozi ili kafanye kazi kwenye hiyo law firm yake na president alikataa resignation yake??
Maybe hataki kuachia position yake sbb anaona inamlipa sana kuliko huo ubalozi.
Ukisoma websites za hizi law firms utaoona Wazungu wapo.
Unajiuliza Je Hakuna Watanzania wenye ujuzi wa sheria kiasi chakuajiri Wazungu hawa?
Je una hela gani ya kuwalipa hawa WAZUNGU?
Ah,kama utafanya mikataba fake kwa niaba ya serikali,na kulipwa billioni 8 na BOT au billioni 5 za TANESCO unaweza kuajiri foreigners .
Do you think hizi firm zingekuwa zinashughulikia Human Rights only,hawa Wazungu wangeajiriwa?
WAKE UP TANZANIA,nchi inaliwa na mafisadi papa na vibaraka wao
Mambo haya ni kichefuchefu, hata hivyo lazima hatua zichukuliwe kama siyo na Serikali basi na wananchi
Hapa inaashiria kuna kamchezo kanafinyangwa na SERIKALI ili kuiibia JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na WATU WAKE. Napata picha kwamba MEREMETA, KAGODA, TANGOLD, RICHMOND na DOWANS ni Watoto wa Baba Mmoja. Japo Baba yao hataki na kamwe hawezi kuja hadharani hata kama tutamfanyia DNA Test
Serikali iliyo macho wakati wowote kwa ajili ya Usalama, uwepo, uendelevu na maslahi mbalimbali ya Taifa iliwezaje kushindwa kuyabaini haya mpaka itufikishe kuilipa DOWANS Mabilioni hayo?
1. Richmond Kampuni Hewa iliwezaje kufanya uhamisho wa Mkataba kwenda kwa DOWANS Serikali yetu wala isiamke na kusema wewe HEWA umepata wapi utashi wa kuweza kuhamisha Mkataba?
2. Ama wewe HEWA ulikuwa wapi kuibuka ulipokuwa unatafutwa na Kamati Teule ya Bunge?
3. Kama itabainika kuwa kweli REX Attorneys waliwahi kusimamia Maslahi ya Richmond ambae kwa njia ya kuhamishiana Mkataba na DOWANS wamekuwa ndugu katika business, kweli MAJASUSI wetu ndani ya Serikali walishindwa hata kugonga kengele kuiamsha TANESCO usingizini juu ya possible conflicts of intersests with regard to the bias rule juu ya REX Attorneys kwenda kusimamia kesi hiyo?
LAKINI PIA WATANGAZAJI na WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI: Naamini UCHUNGUZI hapa huhusisha pia utafiti wa kina kwa njia ya mahojiano na kwanjia ya kupitia nyaraka mbalimbali zinazopatikana kwa njia ama namna mbalimbali. Hebu lisaidieni taifa hili, mdhihirishe madai yenu kwamba ninyi mnastahili kuitwa mhimili wa Nne wa dola,
1. HAMZA KASONGO, Adamu SIMBEYE, Twaha ULIMWENGU na MAkwaiya wa KUHENGA: kwenye vile vipindi vyenu vya Luninga ambavyo Mimi huwa napenda kuja kuchangia mawazo yangu HEBU WEKENI Suala la UHALALI WA MALIPO YA TANESCO KWA DOWANS lijadiliwe na MAGURU wa Sheria za Mikataba hapa nchini ili tuone porojo ama ukweli uliomo ndani ya jambo hili
2. Kubenea SAED na Waandishi wengine nguli hebu tafuteni yaliyotendeka kule ICC maana taarifa iliyoenea zaidi ni kulipa mabilioni lakini mchakato ulivyokuwa ni watanzania wachache sana wanauelewa. Nafikiri hata Serikali haitaki Watanzania waelewe kilichijili huko ndiyo maana kauli zao zinagusigusia malipo tu.
LAKINI PIA Nanyi WANASIASA wa vyama vyote vya SIASA hapa ndiyo mahali penu TOENI kauli zenye kuwaonesha Watanzania umuhimu wa kuwepo kwenu kama vyama mbadala vinavyoweza kukabidhiwa nchi
NANYI WAHADHIRI NA WANAFUNZI huko vyuoni, toeni kauli zenu zenye kusheheni USOMI wenu katika hili. Siyo lazima kauli zenu zipingane na ICC ila semeni jambo kwa kadri ya uelewa wenu ulioko vichwani mwenu ilikulitumikia TAifa
VIVYO hivyo kwenu Maaskofu, wachungaji, Mashehe , mabudha na Wapagani pazeni sauti zenu juu ya hili, taifa nanyi litawalilia endapo mtaachia tu dhuluma ichukue mkondo wake. Lakini pia umuhimu enu kitaifa kwa watanzania utakuwa hupo mkiacha hili liende bila kauli zenu
Sijawasahau wakulima na Wafanyakazi kupitia vyama vyenu, nanyi mna waajibu
Sijasahau vyama vya wapiga debe kama vipo huko stendi za mabasi na daladala pazeni sauti zenu kuzima udhalimu
DUNIA HII HUWA MAHALI HATARI SANA KWA KUISHI SUYO TU KWA SABABU YA MAOVU BALI PIA KWA SABABU YA KUWEPO WATU WANAYOYAONA MAOVU YANATENDEKA LAKINI HAWACHUKUI HATUA. Mwanazuoni mmoja alipata kuneena haya
Meet the Firm H.E. Mwanaidi Sinare Maajar
H.E. Mwanaidi Sinare Maajar
Advocate and Corporate and Mining Law Consultant
Practice Areas:
Mining, gas and oil, corporate law, banking law, legal review, drafting international contracts.
Qualifications:
Master of Laws (LLM) - University of Dar es Salaam – 1982.
Bachelor of Laws (LL.B) (Hons) - University of Dar es Salaam – 1977.
Short professional courses in Italy, Tanzania and USA.
Professional Membership:
Tanganyika Law Society (TLS), the Bar Association of Tanzania.
East Africa Law Society (EALS), an association of legal practitioners and national Bar associations in East Africa. She helped establish the EALS in 1995.
Tanzania Women Lawyers' Association (TAWLA).
International Bar Association.
Experience:
Ms. Maajar is currently on a sabbatical serving as High Commissioner of the United Republic of Tanzania accredited to the Court of St. James, United Kingdom and Northern Ireland and (Non-Resident) Ambassador Extraordinary of the United Republic of Tanzania to Ireland. Until her appointment as High Commissioner in June, 2006 she headed the Firm's Mining Law Portfolio. She has an unrivaled expertise in mining and energy law. She was a founding partner of MRN&M Advocates.
Ms. Maajar built the mining portfolio to become the brightest spot of the legal practice by investing an incredibly huge amount of her time and energy and eventually perfecting this field of law making her an unrivaled leading mining law consultant in Tanzania. It is to her credit that all major international mining companies operating in Tanzania are clients of the Firm. She is highly respected by the mining companies, the Government and peers as a leading corporate law consultant in every aspect of that industry. She has contributed to the reform of the mining law policy and law in Tanzania as well as the review of the impact of the law to the mining sector and to Government. Her ability to see beyond the obvious and to examine issues from the legal perspective as well as take into account social, political and economic issues that may impact mining issues brought to her to opine thereon, makes her a valuable adviser to any mining client. Prior to getting into private legal practice, she had worked as Senior Legal Advisor with the Central Bank of Tanzania and subsequently as Business Manager with Coopers & Lybrand, the predecessor firm of PriceWaterhouseCoopers in Tanzania
Languages:
English - Excellent
Kiswahili - Excellent
French - Reasonable
Other Memberships:
Past Chairperson, Tanzania Women Lawyers Association for three years (2001-2003).
Member of the Board of Muslim Development Fund (MDF).
Member of the University Council, Morogoro Muslim University, which is owned by MDF.
Member of the Board of Women and Development Company Limited (WAMA).
Member, Ministerial Advisory Board.
Past Chairperson of the Social Action Trust Fund (SATF).
Member of the Board of African Banking Corporation.
Member of the Board of DAWASA.