2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,695
Lionel Leo Messi Vs Erling Haaland
Mbona walishasema, tuzo ya safari hii itahusisha world cup. Mbappe angetwaa kombe ingemhusuAndunje hana cha maana alichokifanya.
Wamekosea sana kuhusisha na WC.
Ila kwa sababu waandaji ni Pro Messi, basi atachukua tena.
Haaland bila kombe la Dunia ni sawa na bure
Duuh magoli 53 mtu mmoja msimu mmoja..
Goals machine..
Wamemrahisishia njia messi π haaland zaidi ya kulijua goli hana kingine kwenye timuWako wengi kina mbappe na kadharika sema favorite ni hawa wawili.
Una shangaa iyo uyo anduje apo juu ali piga goal 91 msimu mmojaDuuh magoli 53 mtu mmoja msimu mmoja..
Goals machine..
Hivi kwa nini wasiwaweke wachezaji toka ligi za asia. Uarabuni, america, n.k? Kwa nini hiyo tuzo wanaangalia wachezaji wa ulaya wakati wanasema ni ya dunia?
Utazhangaa watu wakatoa tuzo kwa picha ya ukutani.Duuh magoli 53 mtu mmoja msimu mmoja..
Goals machine..
Julian Alvarez created history by becoming the first player to win a club treble and FIFA World Cup in the same season.Japo ni shabiki wa Man Utd ila huyu dogo apewe maua yake.
World Cup
Copa America
Finalissima
Argentine Primera
Copa Libertadores
Copa Argentina
Supercopa Argentina
Trofeo de Campeones
Recopa Sudamericana
Champions League
Premier League
FA Cup
Marekebisho, sio msimu mmoja ni mwaka mmoja, mfano chukua magoli yaliyofungwa januari mwaka huu jumlisha mpaka ya disemba, maana yake hapo yameingia ya misimu miwili vipande vipandeUna shangaa iyo uyo anduje apo juu ali piga goal 91 msimu mmoja
Ronaldo Ali tupia 69
Lewandowsk nae alisha tupia 69
Wame goal zaidi ya hizo mala nyingi hadi ikawa kawaida
Ahame nchi labdaHaaland bila kombe la Dunia ni sawa na bure