Messi atwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya nane

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,818
11,994
Fuatilia yanayojiri kwenye usiku wa utoaji tuzo za Ballon jijini Paris, Ufaransa, leo Oktoba 30, 2023.

===​
Ballon d'Or ni tuzo inayoheshimika sana katika ulimwengu wa kandanda, iliyoanzishwa na jarida la France Football mnamo 1956, na Lionel Messi anatarajiwa kutwaa tuzo ya wanaume kwa mara ya nane katika maisha yake ya soka - kutokana na mchango wake mkubwa ulioleta ushindi kwa Argentina kwenye Kombe la Dunia la 2022.

Kwa sasa akiwa na tuzo saba kwa jina lake, Messi anashikilia rekodi ya kushinda Ballon d'Or nyingi zaidi.

Erling Haaland ni mmoja wapo wa tuzo zinazopendekezwa kwa wanaume, wakati Ballon d'Or kwa wanawake huenda ikapelekwa kwa mmoja wa washindi wa Kombe la Dunia la Wanawake la 2023 nchini Uhispania, huku Aitana Bonmati akionekana na wengi kama mshindi.

WASHINDI WALIOTANGAZWA HADI SASA
1. Messi (Inter Miami, Argentina)
2. Erlig Halaand (Man City, Norway)
3. Klyan Mbappe (PSG, Ufaransa)
4. Kevin De Bruyne (Man City, Ubelgiji)
5. Rodri (Man City, Hispania)
6. Vinisious Jr (Real Madrid, Brazil)
7. Julian Alvarez (Man City, Argentina)
8. Victor Omsihen (Napoli, Nigeria)
9. Benardo Silva (Man City, Ureno)
10. Luka Modric (Real Madrid, Crotia)
11. Mohamed Salah (Liverpool & Misri)
12. Robert Lewandowski (Barcelona & Poland)
13. Yassine Bounou (Sevilla, Al Hilal & Morocco)
14. Ilkay Gundogan (Man City, Barcelona & Germany)
15. Emiliano Martinez (Aston Villa na Argentina)
16. Karim Benzema (Real Madrid & France)
17. Khvicha Kvaratskhelia (Napoli & Georgia)
18. Jude Bellingham (Real Madrid & England)
19. Harry Kane (Bayern Munich & England)
20. Lautaro Martinez (Inter Milan & Argentina)

1-5.jpg

6-10.jpg

IMG_8930.jpeg
IMG_8931.jpeg


1698698633616.png

Jude Bellingham
Kiungo wa Real Madrid's Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Kopa Trophy 2023 tuzo ya mchezaji bora chini ya miaka 21

1698698694277.png
Vinicius Júnior wins the Socrates Award for fighting against racism and for his hard work in education in Brazil! ✨

Real star invested almost €4m until now for his Vini Jr. Institute — an education app for poor students.

1698698827704.png

Emiliano ‘Dibu’ Martínez ameshinda tuzo ya Mlinda Mlango bora 𝟐𝟎𝟐𝟑! ✨

1698698903577.png


Erling Haaland amenyakuwa tuzo ya mshambuliaji bora 𝟐𝟎𝟐𝟑! ✨

Messi.jpg

Lionel Messi
Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa mwaka 2023 Ballon Dior akifikisha ya 8
 
KWA SABABU ZA KIBIASHARA NA KIGEZO CHA WORLD CUP, LIONEL MESSI ATASHINDA ILA ERLING HAALAND "ATAPORWA" PAMOJA NA PERFORMANCE ALIYONAYO

Kama kipindi kile cha R. Lewandowski walivyomzingua kwa kigezo cha CORONA wakamfariji na tuzo ya Fifa best
 
KWA SABABU ZA KIBIASHARA NA KIGEZO CHA WORLD CUP, LIONEL MESSI ATASHINDA ILA ERLING HAALAND "ATAPORWA" PAMOJA NA PERFORMANCE ALIYONAYO

Kama kipindi kile cha R. Lewandowski walivyomzingua kwa kigezo cha CORONA wakamfariji na tuzo ya Fifa best
Nikishaachaga kufatilia kitambo baada ya kugundua kuwa Messi anatumiwa na kampuni husika kutajirisha biashara zao.

Eg. Wadhulumiwa;

1. "Iniesta 2010"

2. "Lewandowski 2021".


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom