BAKWATA Yapinga maandamano ya Waislam tarehe 23 Dec 20011

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,501
93,059
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametoa tamko la kupinga maandamano yaliyondaliwa na baadhi ya Taasisi za kiislamu kupinga MoU kati ya serikali na kanisa na kushinikiza mahakama ya kadhi.
Kwa mujibu wa Sheikh mkuu wa Dar es salaam amewataahadhasha Waislamu kwamba madai yao hayawezi kupatikana kwa njia za maandamano.

My Take: Waislamu mkitaka kusimamia maslahi ya kwenu, kwanza ni lazima muipinduwe Bakwata maana mpaka sasa Bakwata ni kitengo cha propaganda cha CCM ambacho wanakitumia watakavyo na kuwageuza waislamu kama misukule yao.
 
mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, ni vizuri kama wameliona hilo maana sioni kama maandamano yao yana tija yeyote kwa taifa na uislamu... vipi kama wakristo wangeandamana siku ya eid.. mngejisikiaje ninyi mnaotaka kuandamana nadhani mngeanzisha vurugu kama sikosei? Matatizo ya waislamu yamalizwe kwa njia ya mazungumzo, wekeni kila dai lenu kwenye maandishi na wapeni wakuu wa serikali, uzuri wengi ni wenzenu, so naamini ule usemi wa zimwi likujualo...utafanya kazi na mkizungumza kwa busara na kujenga hoja zenye mashiko hamna litaloharibika.
 
intelejensia inasema kwamba Alshaababu wapo kisiwani na wanajiandaa kuingia jijini wakati wowote kuanzia sasa, huyo Sheikh wa Bakwata anawapenda Waislamu wenzake ndio maana amewaasa wasiandamane

Hivi alshababu wapo kwenye maandamano 2 ila sehemu nyingine ya mikusanyiko ya wa2 hawapo?Kama waislamu wanaona watapata haki yao wakiandamana hiyo tar 23 waandamane 2 kwani wakiwafata hao BAKWATA CCM hawatapata hiyo haki yao wanayoidai!
 
Ukizingatia na raisi wanae basi yetu macho!
Maana ingekuwa zama za Ben ungesikia bse ni mkristu
Ngoma inogile!
 
Baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA limepinga maandamano yaliyopangwa na Umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu nchini yaliyopangwa kufanyika trh 23 mwezi huu nchi nzima kwa madai ya kupinga mkataba uliofikiwa kati ya Serikali na makanisa ili kutoa huduma za kijamii, elimu na afya. tamko hilo limetolewa leo na Shekh Alhj Mussa Salum wa mkoa wa Dar es salaam.
 
Kuna mwana hip hop wa hapa Arusha(JCB) Aliingiza mambo ya quran kwenye wimbo wake!!! al-qaeda wakamvizia akiwa kwenye show pale silk club! Timbwili lake ilibidi show iishe kwa lazima.
Jcb Makalla

Natumia tena nafasi hii kuwaomba radhi waislam wote duniani,kwa mimi hapa kutumia maneno ya kuruhani kwenye nyimbo yangu,niliyo irekodi miaka mitatu iliyo pita,sikuwa na nia mbaya,nimekwisha fika hadi mskitini kuomba radhi,ndungu zangu nisameheni
 
Kwani baba riz 1 kaacha mtindo wa kuwakaribisha ikulu kama nyumbani, si wangemwambia wakati wanakunywa chai ya jioni mpaka weingie barabarani? Kwani barabarani watapata chai ya jioni? Au mwezi wa ramadhani upo mbali wanalazimisha wafutulishwe na baba riz 1 kilazima
 
Sababu ni nini, kuna tishio la Al-Shabaab au?

Kuandamana ni haki yao na ninawaunga mkono kufanya hivyo ila hata siku moja siungi mkono kile wanachokiandamania ndani ya Tanzania hii.
 
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametoa tamko la kupinga maandamano yaliyondaliwa na baadhi ya Taasisi za kiislamu kupinga MoU kati ya serikali na kanisa na kushinikiza mahakama ya kadhi.
Kwa mujibu wa Sheikh mkuu wa Dar es salaam amewataahadhasha Waislamu kwamba madai yao hayawezi kupatikana kwa njia za maandamano.

My Take: Waislamu mkitaka kusimamia maslahi ya kwenu, kwanza ni lazima muipinduwe Bakwata maana mpaka sasa Bakwata ni kitengo cha propaganda cha CCM ambacho wanakitumia watakavyo na kuwageuza waislamu kama misukule yao.
jk aliSema wanalalamika mou ya kanisa wakati waislam hawajaomba. hivyo tatizo sio kanisa bali wao hawajatuma maombi serikalini na kunyimwa
 
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametoa tamko la kupinga maandamano yaliyondaliwa na baadhi ya Taasisi za kiislamu kupinga MoU kati ya serikali na kanisa na kushinikiza mahakama ya kadhi.
Kwa mujibu wa Sheikh mkuu wa Dar es salaam amewataahadhasha Waislamu kwamba madai yao hayawezi kupatikana kwa njia za maandamano.

My Take: Waislamu mkitaka kusimamia maslahi ya kwenu, kwanza ni lazima muipinduwe Bakwata maana mpaka sasa Bakwata ni kitengo cha propaganda cha CCM ambacho wanakitumia watakavyo na kuwageuza waislamu kama misukule yao.

something is wrong ila WAANDAMANAJI WANAHOJA YA MSINGI WANAJUA KITU.
 
intelejensia inasema kwamba Alshaababu wapo kisiwani na wanajiandaa kuingia jijini wakati wowote kuanzia sasa, huyo Sheikh wa Bakwata anawapenda Waislamu wenzake ndio maana amewaasa wasiandamane
Watanzania waliotekwa na hadithi za Alshabab mpo wengi sana.
 
tatzo la waislamu ni kukosa HIERARCHY ya uongozi, leo sheikh wa mkoa katoa tamko la kupinga kesho utasikia ustadhi wa madrasa an-nuur tandika kaja na tamko lake.
MY TAKE: Matatizo ya waislamu hayatakwsha hadi hapo watakapokuwa na mfumo dhabiti wa uongozi wenye kufuata protocol na HIERARCHY.
 
Lakini mbona msmaji wao, ameongea lugha rahisi sana iliyoeleweka kabisa.
Na wanayoyaandamania yalishatolewa ufafanuzi na vyombo husika? Tena na Mkuu wa nchi?
 
orodha iko hivi...
CCM A-Magamba,mother of all uchafu
CCM B-CUF Wazee wa mswada na ndoa
CCM-C-NCCR MANUNUZI
CCM-D-BAKWATA wazee wa hijabu!!
 
Polen xana wakaaz wa dar es salaam kwa maafa yaliyowakuta pia kwa ndugu zetu waliopoteza maisha mwenyezi mungu aziweke roho za marehem pema peponi, mungu alitoa mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. Wahusika wa miundo mbinu tekelezen wajib wenu wa kurekebisha miundombinu ili kunusuru maisha ya watanzania. Kwa ndugu zangu waishio mabondeni jaman hamen mabo yameharibika.
 
Back
Top Bottom