bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,411
- 743
polen xana wakaaz wa dar es salaam kwa maafa yaliyowakuta pia kwa ndugu zetu waliopoteza maisha mwenyezi mungu aziweke roho za marehem pema peponi, mungu alitoa mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. Wahusika wa miundo mbinu tekelezen wajib wenu wa kurekebisha miundombinu ili kunusuru maisha ya watanzania. Kwa ndugu zangu waishio mabondeni jaman hamen mabo yameharibika.
kaka umetisha kwa mchango mzuri,wakati muafaka lakini sio mahali sahihi na mada sahihi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!ila umenifurahisha kama vile huilewi mada au umeona haina mashiko