Bado sina NDOA.....

Kowan

Member
Mar 15, 2011
62
1
Mabibi na mabwana iviii haiwezekani mie kumpata mwenza toka eneo hili..... maaana nakutana na picha za wadada warembo wakichangia mada zao.......kuna sura nyingi nimevutiwa nazo... I LURV U ALL..WAMAMA.... ILA LAZIMA AWE MWALIMU WA PRIMARY.....
 
Weka sura yako watakuPM,ila usije ukawa hujui kutongoza.You take time to hit the heart of the matter! (Unaenda Tanga unazungukia Znz, yet kuna short cut)
 
Mabibi na mabwana iviii haiwezekani mie kumpata mwenza toka eneo hili..... maaana nakutana na picha za wadada warembo wakichangia mada zao.......kuna sura nyingi nimevutiwa nazo... I LURV U ALL..WAMAMA.... ILA LAZIMA AWE MWALIMU WA PRIMARY.....

m here
nafundisha hisabati darasa la tatu na 4
nipo tayar kuwa mke wako.
 
mimi mwalimu wa vidudu ila nataka nijiendeleze nifundishe primary. Nakubalika?
 
Umeona sura za warembo, mimi nafundisha kyuti ntapata namba?
 
Mabibi na mabwana iviii haiwezekani mie kumpata mwenza toka eneo hili..... maaana nakutana na picha za wadada warembo wakichangia mada zao.......kuna sura nyingi nimevutiwa nazo... I LURV U ALL..WAMAMA.... ILA LAZIMA AWE MWALIMU WA PRIMARY.....

Great Choice.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom