Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Tatizo mkiambiwa kijifunza vitu vipya kila siku
mtu anaenda kujifungia library anasoma abbot na nelkon
ni mambo wadogo madogo sana
mfano, mie siku zingine
badala ya kumfuata kitandani natembelea miguu
naenda natembelea mikono
its very funny
maana vinavyoning'inia vyote vinabadili direction
basi raha tupu
Haahaa! Hayo mambo ya mwingine kutembea kwa mikono yamekaaje? Usimgeuze shemeji yangu zezeta,lol!