Bad girls ARE SEXY!

Tatizo mkiambiwa kijifunza vitu vipya kila siku
mtu anaenda kujifungia library anasoma abbot na nelkon

ni mambo wadogo madogo sana
mfano, mie siku zingine
badala ya kumfuata kitandani natembelea miguu
naenda natembelea mikono
its very funny
maana vinavyoning'inia vyote vinabadili direction
basi raha tupu

Haahaa! Hayo mambo ya mwingine kutembea kwa mikono yamekaaje? Usimgeuze shemeji yangu zezeta,lol!
 
Haya huwa tunakutana nayo mara moja kwa mwaka....


Maisha ya relationship ni bangi tupu...Ila kwa mipango ya pembeni nasikia hii dozi inatoka kila siku tena kutwa mara 3!!

Babu DC!!
 
Huwa wanasema kuwa mwanamke ana personalities tatu. Moja, akiwa na familia yake. Mbili akiwa na marafiki zake. Tatu akiwa NAE. Sasa tatizo linakuja pale anapokuwa NAE lakini anaonyesha personality ya kuwa na familia au marafiki zake. Use your personalities accordingly. LOL
 
Wengine tukiwa online tunakuwa wanaume wakizamani! Ila kama ingekuwa ni kwa practical pengine my score would be close to 100%! Tuko pamoja
I seee. . .
Make good use of that IMAGINATION.. . .
 
Haya huwa tunakutana nayo mara moja kwa mwaka....


Maisha ya relationship ni bangi tupu...Ila kwa mipango ya pembeni nasikia hii dozi inatoka kila siku tena kutwa mara 3!!

Babu DC!!


Hahahaha!!Babu afadhali hiyo mara moja ipo kwahiyo kazi yako kusubiria kwa hamu hiyo siku ifike.
 
Huwa wanasema kuwa mwanamke ana personalities tatu. Moja, akiwa na familia yake. Mbili akiwa na marafiki zake. Tatu akiwa NAE. Sasa tatizo linakuja pale anapokuwa NAE lakini anaonyesha personality ya kuwa na familia au marafiki zake. Use your personalities accordingly. LOL

Hutaki "Shikamoo baba" mpaka chumbani?
 
Huwa wanasema kuwa mwanamke ana personalities tatu. Moja, akiwa na familia yake. Mbili akiwa na marafiki zake. Tatu akiwa NAE. Sasa tatizo linakuja pale anapokuwa NAE lakini anaonyesha personality ya kuwa na familia au marafiki zake. Use your personalities accordingly. LOL
i see!
 
Nimeshaona mara kwa mara watu wakiuliza kama mwanamke anaweza akawa wa kwanza kumjulisha mwenzake kwamba anamhitaji kimwili, na ni namna gani anaweza kufanya hivyo.

Kwa mwanamke anaejiamini na kujua nini anataka kwa wakati gani inawezekana sana. Na njia za kumjulisha mhusika ziko kuu tatu (nnazofahamu mimi anyway).
1.Maneno - Dirty talk inahamasisha sana.
2.Mazingira.
3.Matendo.

1.Maneno.
Baadhi ya wanaume (siwezi kusema wote) wanapenda mwanamke ambae heshima inaishia sebuleni na sio inaingizwa mpaka chumbani. Mkishavuka kile kizingiti, mkafunga mlango na kubaki nyie wawili tu you have to be able to whisper something dirty/nasty in your mans ear and turn in to a wild cat when you are at it.

Kwa wale waoga a.k.a 'good girls' dirty talk can help spice up your sex life, it's a good thing. Dirty talk does not make you a bad person, you'll still be a good girl outside your bedroom!!. . it's just something that makes you a bad girl to your man and MUCH more desirable at times.

Kwahiyo maneno kama "nakutamani, nakutaka, natamani/nataka u(ni). . . . . . au ni(ku). . . . . ." kwa text,e-mail ama kwa sauti nyororo na ya chini yanaweza yakamfanya mtu akarudi nyumbani mapema kuliko kawaida yake ama akaweka remote chini na kukupa wewe 'attention' badala ya TV ,gazeti au kitabu.

Na uzuri wa hii ni kwamba waweza kumwandaa mtu MAPEMA kabisa, tangu hata asubuhi.

2. Mazingira.
Hii inahusu sana vitu vinavyoonekana, harufu pia kusikika.

Chumba/nyumba kuwa imepambwa kwa namna fulani (mishumaa, maua, rangi ya mashuka), music wa aina fulani au marashi vinaweza vikamjulisha mhusika 'what's going to happen' as soon as he walks through the door bila ya bibie kutoa neno. Mara moja moja, haswa zile siku mnazopata bahati ya kubaki wawili tu nyumbani badala ya kila mmoja kuwa busy na laptop/simu/TV yake na kuACT kama vile hamna kitu mnachoweza kufanya kwa pamoja, bibie unaweza ukaufanya usiku uwe wa kukumbukwa.

. . Cook his favorate meal. . .
. . Clean up the place. . pendezesha mazingira. Tandika mashuka masafi, mazuri na yenye kuvutia. Nyunyuzia marashi anayopenda sana iwe perfume ama udi.
. . Clean yourself up and dress the part.
Pendeza. . mfanye afurahie kukuangali kwanzia juu mpaka chini.
Nukia vizuri atamani kusogea na kuwa karibu na wewe.

3. Matendo.
Hii nadhani ndio the sexiest of them all.

Kwanza imekaa kiuchokozi SANA na inahusu kuwa mwanamke zaidi. Ulaini, utaratibu, udekaji na uongozi juu.

Unaweza ukaanza kwa kuvaa kichokozi. . kwa miili yetu ya kiAfrika isiyochukiza ndani ya kanga hata iwe mikubwa vipi Khanga moja should be and 'is' the best alternative in my opinion. Chagua ile laini, jitupie, onyesha guu na upaja uliojaaliwa atakutaka mwenyewe. Kwa wale wenye miili inayoruhusu (you don't wanna wear anything you can't pull off. . so kama umejazia sana let be of the tight and too revealing stuff). . put on a sexy lingerie and show it off.

Tumia macho yako. . badala ya kumkata jicho mpaka aogope, legeza macho umvutie.
Sauti yako iwe laini ukiongea. .tumia sauti ya chini.
Kiujumla kaa kikaribishaji zaidi, tumia maringo yako ya kike, sauti ,maneno na muonekano wa kudeka.
Ukimgusa (utajua mwenyewe unamgusa wapi) usitumie nguvu. Kua mtaratibu na laini. . . kama ni ukali utaurudia asubuhi.
Ukiona yuko puzzled au hana speed ile unayotaka wewe take him by the hand and guide him.

MWANAMKE ANAWEZA, HAHITAJI KUWEZESHWA maana uanamke sio kilema.


Dah,....you're a bad girl lizzy.
I should invite my girl in JF apate tutorialz
 
Au waweza kaa nae sebuleni alafu ukachukua ndizi mbivu ukawa unaimenya huku una mtazama kwa maringo then ukawa una act kama unainyonya fulani ivi, kama mwelewa ataelewa na atakupa ulichokuwa unakiitaji..asante Lizzy!!
 
Haya mama mchungaji...endeleeni na topic, ingekuwa mtihani basi mi leo ningesema 'nimebaka swali'!!! LOL

Hahaaa. . haya kimbia nje si tuendelee kakondoo. Ila siku ile itakapofika lazima upate copy yako.
 
Back
Top Bottom