Bad girls ARE SEXY!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,810
59,359
Nimeshaona mara kwa mara watu wakiuliza kama mwanamke anaweza akawa wa kwanza kumjulisha mwenzake kwamba anamhitaji kimwili, na ni namna gani anaweza kufanya hivyo.

Kwa mwanamke anaejiamini na kujua nini anataka kwa wakati gani inawezekana sana. Na njia za kumjulisha mhusika ziko kuu tatu (nnazofahamu mimi anyway).

1. Maneno - Dirty talk inahamasisha sana.
2. Mazingira.
3. Matendo.

1. Maneno.
Baadhi ya wanaume (siwezi kusema wote) wanapenda mwanamke ambae heshima inaishia sebuleni na sio inaingizwa mpaka chumbani. Mkishavuka kile kizingiti, mkafunga mlango na kubaki nyie wawili tu you have to be able to whisper something dirty/nasty in your mans ear and turn in to a wild cat when you are at it.

Kwa wale waoga a.k.a 'good girls' dirty talk can help spice up your sex life, it's a good thing. Dirty talk does not make you a bad person, you'll still be a good girl outside your bedroom!!. . it's just something that makes you a bad girl to your man and MUCH more desirable at times.

Kwahiyo maneno kama "nakutamani, nakutaka, natamani/nataka u(ni). . . . . . au ni(ku). . . . . ." kwa text,e-mail ama kwa sauti nyororo na ya chini yanaweza yakamfanya mtu akarudi nyumbani mapema kuliko kawaida yake ama akaweka remote chini na kukupa wewe 'attention' badala ya TV ,gazeti au kitabu.

Na uzuri wa hii ni kwamba waweza kumwandaa mtu MAPEMA kabisa, tangu hata asubuhi.

2. Mazingira.
Hii inahusu sana vitu vinavyoonekana, harufu pia kusikika.

Chumba/nyumba kuwa imepambwa kwa namna fulani (mishumaa, maua, rangi ya mashuka), music wa aina fulani au marashi vinaweza vikamjulisha mhusika 'what's going to happen' as soon as he walks through the door bila ya bibie kutoa neno. Mara moja moja, haswa zile siku mnazopata bahati ya kubaki wawili tu nyumbani badala ya kila mmoja kuwa busy na laptop/simu/TV yake na kuACT kama vile hamna kitu mnachoweza kufanya kwa pamoja, bibie unaweza ukaufanya usiku uwe wa kukumbukwa.

. . Cook his favorate meal. . .
. . Clean up the place. . pendezesha mazingira. Tandika mashuka masafi, mazuri na yenye kuvutia. Nyunyuzia marashi anayopenda sana iwe perfume ama udi.
. . Clean yourself up and dress the part.
Pendeza. . mfanye afurahie kukuangali kwanzia juu mpaka chini.
Nukia vizuri atamani kusogea na kuwa karibu na wewe.

3. Matendo.
Hii nadhani ndio the sexiest of them all.

Kwanza imekaa kiuchokozi SANA na inahusu kuwa mwanamke zaidi. Ulaini, utaratibu, udekaji na uongozi juu.

Unaweza ukaanza kwa kuvaa kichokozi. . kwa miili yetu ya kiAfrika isiyochukiza ndani ya kanga hata iwe mikubwa vipi Khanga moja should be and 'is' the best alternative in my opinion. Chagua ile laini, jitupie, onyesha guu na upaja uliojaaliwa atakutaka mwenyewe. Kwa wale wenye miili inayoruhusu (you don't wanna wear anything you can't pull off. . so kama umejazia sana let be of the tight and too revealing stuff). . put on a sexy lingerie and show it off.

Tumia macho yako. . badala ya kumkata jicho mpaka aogope, legeza macho umvutie.
Sauti yako iwe laini ukiongea. .tumia sauti ya chini.
Kiujumla kaa kikaribishaji zaidi, tumia maringo yako ya kike, sauti ,maneno na muonekano wa kudeka.
Ukimgusa (utajua mwenyewe unamgusa wapi) usitumie nguvu. Kua mtaratibu na laini. . . kama ni ukali utaurudia asubuhi.
Ukiona yuko puzzled au hana speed ile unayotaka wewe take him by the hand and guide him.

MWANAMKE ANAWEZA, HAHITAJI KUWEZESHWA maana uanamke sio kilema.
 
Mmmmh shule nzuri, nitaianza leo leo.

Ni kweli kabisa ulichosema Lizzy.

Mmh walau mwanamke jitambue na jiamini kwa kile ukitakacho kwa mwenzi wako.
 
Ngoja nikafanye majaribio leo.

Matokeo muhimu ehhh!!
@Lizzy

sadly, some women have nothing to offer in a r/ship hata upige ngoma na utumie speaker ili wasikie utajisumbua tu.

@Heshima inaishia sebuleni kumbe wengine hata chumbani wanapandisha chupi juu ya kitovu hahaha safi sana.
Fazaa unaweza ukamsaidia mwenzako kama unaona ana aibu/heshima mpaka sehemu ambazo hatakiwi kuwa nazo. Hivi vitu vinafundishika. . . ni kiasi cha wewe tu kuwa mwalimu wake.
 
genius at work.... teh teh teh lol

Lizzy Luu.. I love, Love what you just wrote.....absolutely brilliant ..

But..
Sex zote umezigonga chumbani tu ...
Hivi sehemu zingine hakufai au ?? na je lazima iwe usiku...?

Kurwa hizo nyingine tutafanyia kazi pamoja. . . alafu siunajua zinamhusisha mwanaume pia kwenye kushawishi mchezo, hii ya wamama/dada zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom