Bachelor of Environmental health sciences vs Diploma in Clinical Medicine

Nyigana

Senior Member
May 5, 2012
105
12
Kuna mdogo wangu kachaguliwa hizo course mbili lakn vp kuhusu solo la ajira la environmental health scientists, wanaajiriwa direct serikalini au hadi nafasi itokee?
 
Aisee mi naona akasome bachelor.Sababu nitakuja kutoa baadae
 
Aaache ujinga udaktari atachelewa saaana aende bachlor ya env sc.. Bado kuna demand kubwa ya hao watu ukilinganisha na product zinazotoka vyuon.. Aende tu hatajutia
 
MWAMBIE AKASOME environmental health scientists Kwasababu ni kozi nzuri kwa maana ajira yake ni moja kwa moja na wengi wenye elimu hii wanaishia diploma ;mfano maafisa afya wa wilaya wengi wanadiploma na wakuu wa idara nao diploma nyingi.Hivi karibuni serekali ilitaka vyuo vya diploma ya Envr Health wakufunzi wawe na degree lakini wamekwama wenye hiyo degree ni kama hakuna.HAWA mara nyingi wanakuwa wakuu wa idara za Kinga na Afya mkoani au wilayani.Nishavu asiikimbie
ukiongelea afya usitoke hapa clinical medcine, med lab, phamacy, nursing, md, surgery.........
 
TANZANIA HII KWELI WENGI VICHAA YAANI KUNA MTU YAANI WATU WAKIOMBA MSAADA YEYE ANATAFUTA WAPI MTU ATAPOST AKOSOE,MSAIDI WEWE UNAYEJUA SANA SIO KUTAFUTA MAHALI UKOSOE TU WAKATI MWINGINE HATA UNACHOKOSOA HUKIELEWI
mbona umepanic, halaf matusi tena,
 
MWAMBIE AKASOME environmental health scientists Kwasababu ni kozi nzuri kwa maana ajira yake ni moja kwa moja na wengi wenye elimu hii wanaishia diploma ;mfano maafisa afya wa wilaya wengi wanadiploma na wakuu wa idara nao diploma nyingi.Hivi karibuni serekali ilitaka vyuo vya diploma ya Envr Health wakufunzi wawe na degree lakini wamekwama wenye hiyo degree ni kama hakuna.HAWA mara nyingi wanakuwa wakuu wa idara za Kinga na Afya mkoani au wilayani.Nishavu asiikimbie
SIDHANI KAMA KUNA UKWEL WA MAELEZO YAKO! NINAVYOELEWA PROGRAM ZENYE MAHITAJ MAKUBWA ZINA PRIORITY INGAWA SI KWA 100% KWELI! ILA KOZ IKIWA NON PRIORITY NI 100% HAINA MAHITAJ MAKUBWA! MY TAKE ! KAMA INGEKUWA KAMA UNAVYOSEMA BASI BILA SHAKA KWENYE GUIDE BOOK INGEKUWA INA PRIORITY! KAMA INGEKUWA MIMI NINGEENDA DIPLOMA AU KUAHIRISHA MWAKA!
 
Back
Top Bottom