Aliomba kupitia TCU na NACTEKapataje nafasi mbili?
InterestingAliomba kupitia TCU na NACTE
Kuna mdogo wangu kachaguliwa hizo course mbili lakn vp kuhusu solo la ajira la environmental health scientists, wanaajiriwa direct serikalini au hadi nafasi itokee?
Mkuu muda ndo huuAisee mi naona akasome bachelor.Sababu nitakuja kutoa baadae
kwa nini? aende diploma?nenda diploma
ukiongelea afya usitoke hapa clinical medcine, med lab, phamacy, nursing, md, surgery.........MWAMBIE AKASOME environmental health scientists Kwasababu ni kozi nzuri kwa maana ajira yake ni moja kwa moja na wengi wenye elimu hii wanaishia diploma ;mfano maafisa afya wa wilaya wengi wanadiploma na wakuu wa idara nao diploma nyingi.Hivi karibuni serekali ilitaka vyuo vya diploma ya Envr Health wakufunzi wawe na degree lakini wamekwama wenye hiyo degree ni kama hakuna.HAWA mara nyingi wanakuwa wakuu wa idara za Kinga na Afya mkoani au wilayani.Nishavu asiikimbie
katibu mazingiraaenvironmental health
mbona umepanic, halaf matusi tena,TANZANIA HII KWELI WENGI VICHAA YAANI KUNA MTU YAANI WATU WAKIOMBA MSAADA YEYE ANATAFUTA WAPI MTU ATAPOST AKOSOE,MSAIDI WEWE UNAYEJUA SANA SIO KUTAFUTA MAHALI UKOSOE TU WAKATI MWINGINE HATA UNACHOKOSOA HUKIELEWI
poa bhana, mm sibishaniiiHUJULIKANA KAMA ENVERONMENTAL HEALTH OFFICER
SIDHANI KAMA KUNA UKWEL WA MAELEZO YAKO! NINAVYOELEWA PROGRAM ZENYE MAHITAJ MAKUBWA ZINA PRIORITY INGAWA SI KWA 100% KWELI! ILA KOZ IKIWA NON PRIORITY NI 100% HAINA MAHITAJ MAKUBWA! MY TAKE ! KAMA INGEKUWA KAMA UNAVYOSEMA BASI BILA SHAKA KWENYE GUIDE BOOK INGEKUWA INA PRIORITY! KAMA INGEKUWA MIMI NINGEENDA DIPLOMA AU KUAHIRISHA MWAKA!MWAMBIE AKASOME environmental health scientists Kwasababu ni kozi nzuri kwa maana ajira yake ni moja kwa moja na wengi wenye elimu hii wanaishia diploma ;mfano maafisa afya wa wilaya wengi wanadiploma na wakuu wa idara nao diploma nyingi.Hivi karibuni serekali ilitaka vyuo vya diploma ya Envr Health wakufunzi wawe na degree lakini wamekwama wenye hiyo degree ni kama hakuna.HAWA mara nyingi wanakuwa wakuu wa idara za Kinga na Afya mkoani au wilayani.Nishavu asiikimbie
MWAMBIE AKASOME environmental health scientists Kwasababu ni kozi nzuri kwa maana ajira yake ni moja kwa moja na wengi wenye elimu hii wanaishia diploma ;mfano maafisa afya wa wilaya wengi wanadiploma na wakuu wa idara nao diploma nyingi.Hivi karibuni serekali ilitaka vyuo vya diploma ya Envr Health wakufunzi wawe na degree lakini wamekwama wenye hiyo degree ni kama hakuna.HAWA mara nyingi wanakuwa wakuu wa idara za Kinga na Afya mkoani au wilayani.Nishavu asiikimbie