Monasha
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 561
- 422
Sina shaka kwamaba kila mmoja wenu ni mzima wa afya.
Wakuu mimi nauliza kwamba hii course ya bachelor of commerce in tourism ambayo ni mpya pale UDSM, ambako ndipo nilipopangwa, mnaionaje??
Nimepangiwa UDSM na course ndo hiyo hapo juu. Naombeni mawazo yenu katika hili.
Asanteni na nawasilisha.