Baby I do

Am flattered! Ila uta copy na ku paste vipi message ya kaby bana.. Mi staki, labda untungie ya kwangu.. Nimekuruhusu hata ku "google" ..lol

usihofu nitamwandalia nyingine atakutumia kesho jamani napenda mpendane halafu mnaendana kweli,
 
Mchumba kuna hela za huyu binti nilimpa kloro amfikishie na hazijafika sasa ananidai mimi bado na ni co-worker wangu nashangaa kunianika hapa na tunaweza maliza kazini.

naomba uyamalize mapema maana huu ni udhalilishaji nakuaminia handsome boy wangu.
 
Dah!asante kwa msg tamu nadhan ni cjakosea kupest kwenye wall ya rejao wangu lol!kaby niandalie ya ukweli ya kumbom mtu hela hahaha!
 
Dah!asante kwa msg tamu nadhan ni cjakosea kupest kwenye wall ya rejao wangu lol!kaby niandalie ya ukweli ya kumbom mtu hela hahaha!

hapo ndo penyewe,hiyo utaipata as early as possible na tunagawana nusu kwa nusu promise me
 
Pedejee gani tena baby nina wivu balaa lol!
Mkaka flani hivi hata jina lake nimesahau

Yeye mwenyewe alisema nimpe ampelekee lakini kwa kuwa umesema nitamlipa tena sweety.
sawa mpenzi wangu ndo maana nakupenda,msikivu kweli wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom