Baby I do

Afu wewe unapenda kweli kunichonganisha na my sweetlove, nikiachika nakufuata mpaka kwenu!
Huku ukija hufiki maana kona ni nyingi na njia ina akina puliza wengi aje....halafu mumeo kawa mleviiiiiii siku....anakunywa hadi Kibuku
 
Uporoto hapa hata salamu naona haina maana!! Naomba nilipe deni langu ninalo wadai na Kloro, leo nipo kikazi zaidi na full of HASIRA! lol

halafu ndo wanaongoza kwa deni hawa,,kumbe ndo maana anajifanya kunipa maneno matamu ili nimsaidie kulipa,am glad nimegundua mapema.
 
Hata hivyo nilikuwa nazugazuga tu natafuta namna ya kumdedicate....teh teh
Amy umeona hiyo mesage?? Kaiweka Kaby ila ni special for from Eb52

Am flattered! Ila uta copy na ku paste vipi message ya kaby bana.. Mi staki, labda untungie ya kwangu.. Nimekuruhusu hata ku "google" ..lol
 
halafu ndo wanaongoza kwa deni hawa,,kumbe ndo maana anajifanya kunipa maneno matamu ili nimsaidie kulipa,am glad nimegundua mapema.
Mchumba kuna hela za huyu binti nilimpa kloro amfikishie na hazijafika sasa ananidai mimi bado na ni co-worker wangu nashangaa kunianika hapa na tunaweza maliza kazini.
 
Nitonye kaenda tena kwenye dharura, hata sijaagwa mwaya. Dalili za mapenzi kuchuja hizi lol..

kwahiyo ukiachwa ndo unataka na mimi niachwe?lol wifi kisicho riziki hakiliki na bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
 
Am flattered! Ila uta copy na ku paste vipi message ya kaby bana.. Mi staki, labda untungie ya kwangu.. Nimekuruhusu hata ku "google" ..lol
Teh ngoja nimwambie Kabakabana aniforwadie kwenye PM ili wadaku wadiidake....utaipenda sana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom