Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #101
Teh na anauweza nashangaa hakumsaidia Ousifia kwa Jane000
khaa wangenipa presha tu wale unawaweza wewe tu
Teh na anauweza nashangaa hakumsaidia Ousifia kwa Jane000
mbona umekaa kimaslahi zaidi wa kaskazini nini wewe love lol!hapo ndo penyewe,hiyo utaipata as early as possible na tunagawana nusu kwa nusu promise me
Wale kwanza hawakawii kukugeuka etiikhaa wangenipa presha tu wale unawaweza wewe tu
hapo ndo penyewe,hiyo utaipata as early as possible na tunagawana nusu kwa nusu promise me
Teh mi nimemnukuu wa mbele yangu....kweli unafukuzia mtoto mpaka unasema slede?punguza munkari huyu keshaingia line
imepita hiyo,sema lingine mpnz!
Teh na anauweza nashangaa hakumsaidia Ousifia kwa Jane000
mbona umekaa kimaslahi zaidi wa kaskazini nini wewe love lol!
Mrs Rejao....jambo jambo
Wale kwanza hawakawii kukugeuka etii
Swaiba hujapata tu,nackia karibia saver inazima,kazana!
imepita hiyo,sema lingine mpnz!
Mzima wa afya tele,hofu kwako swaiba!
mbona umekaa kimaslahi zaidi wa kaskazini nini wewe love lol!
Teh mi nimemnukuu wa mbele yangu....
Tatizo B52 analemba sana
Arusha/Moshi hahaha!kaskazini ndo east au south?kiswahili kinanipiga chenga kidogo baby lol
Tatizo B52 analemba sana
Tatizo B52 analemba sana
Asante shem.Aisee,nimepewa dk chache na mme wangu rejao nikusalimie shemeji yangu maana naona kishaeleweka kwa ndugu yangu kaby!