Babu Aspirin

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,253
12,870
Kwanza shikamoo Babu yangu mpendwa, mimi mjukuu wako huwa nakupendaga dats y huwa nakwambia ukweli na sio kukusema pembeni. Basi babu uwe unapalilia mazingira co kusahau kiasi hiki. Ndimi mjukuu wako Mpendwa charminglady untitled.PNG
 
Last edited by a moderator:
Mi simo ngoja arudi nitawasemea mlikuwa mnamchungua wakati anachekacheka kule mtoni alivyokuwa anaoga!
 
babu Asprin gawa chata tofauti pulizzzzz, yangu ya ODM itaki kushare! na maeneo tofauti, mjukuu wako huyu kiboko, mpaka majini?? kha! gfsonwin, unafunda watu mpaka majini???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom