Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,924
- 30,272
Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.
Mwalimu alipita njia tu hakumweleza Abdul Sykes alikuwa nani katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Naweka kipande kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Rashid Mtagaluka wa MUM FM mwaka wa 2018 kuadhimisha miaka 50 ya kifo Cha Abdul Sykes: