BABA wa KAMBO KAUA MTOTO WAKE WA KAMBO.mtoto azikwa.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,126
ITV imeripoti tukio la baba wa kambo kumpiga na kumuua mtoto wake wa kambo kwa kosa la kutokusahishiwa daftari JIJINI DAR ES SALAAM,MTOTO MMOJA(mdogo wake na marehemu) AKIHOJIWA kasema marehemu alibamizwa na baba yao wa kambo UKUTANI,hata huyo mdogo wa marehemu nae ni mwathirika wa ukatili na kipigo cha baba wa kambo,wakati akiongea kaonyesha mkono mmoja ukiwa na kidonda kilichotokana na kipigo cha baba wao wa kambo.
UKATIRI UKOMESHWE.
 
Khaaaaaaaaaaaaa!!!! Makubwa yaani ukanipigie mwanangu kisa dushelele!!! Loh!! huyo mama hana haya, kwa nini aliruhusu hiyo hali? ona sasa kapoteza mtoto kisa penzi, Nyambafuuuuuuuuuuu zake huyo mwaname aliyekubali kuolewa na huyo mwanaume halafu akaruhusu ukatili kwa watoto wake.
 
Lisa hujambo mpenzı?
 
Ndo madhara ya kupendapenda hovyo!! Inaonesha huyo mwanaume hakuwa anawapenda hao watoto!! Aisee mapenzi hataree!!
 
Hii story inasikitisha sana.
Enewei, binadamu wana mengi na mambo ya Ngoswe muachieni mwenyewe Ngoswe adili nayo
 
Back
Top Bottom