Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
ITV imeripoti tukio la baba wa kambo kumpiga na kumuua mtoto wake wa kambo kwa kosa la kutokusahishiwa daftari JIJINI DAR ES SALAAM,MTOTO MMOJA(mdogo wake na marehemu) AKIHOJIWA kasema marehemu alibamizwa na baba yao wa kambo UKUTANI,hata huyo mdogo wa marehemu nae ni mwathirika wa ukatili na kipigo cha baba wa kambo,wakati akiongea kaonyesha mkono mmoja ukiwa na kidonda kilichotokana na kipigo cha baba wao wa kambo.
UKATIRI UKOMESHWE.
UKATIRI UKOMESHWE.