Baba na mwana

Shonino

Member
Nov 14, 2011
19
0
Mshkaji mmoja alikua na dingi yake akamwona demu wake anakuja bahati mbaya dingi alikuwa mkali na mazungumzo yao yalikua hivi.
MSHIKAJI;umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my farther dsn't knw?
DEMU;yeah na kile cha where should i wait you
MSHKAJI;Dah!hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree
DEMU;Sawa usisahau kile cha i give you 5 minutes.
Dingi kusikia hivyo akampa mwanae elfu 10 ili asome vitabu vingi zaidi.
 
Mara ya tano kinarudiwa hiki kichekesho hapa JF, lakini sio ishu kwa sababu kinachekesha sana na huchoki kukisoma.
 
Back
Top Bottom