Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

MUNGU amlaze mahala sahihi,motoni au peponi kulingana na alivyo ishi hapa duniani.
Sala hii haipo katika kitabu cho chote cha dini ninazozifahamu!

Inawezekana sala hii ni ya ile dini ya mashetani niliyowahi kusikia imeanzishwa Kenya na kupigwa marufuku baada ya kusababisha maafa! Mungu apishie mbali isije ikaibukia hapa Tanzania.
 
Pole sana Kamanda Tundu Lissu
Mwenyezi Mungu anayeishi na kutawala milele akupe nguvu.
 
pole sana Mheshimiwa Tundu Antipas Mughwai Lissu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe!
 
Huna haja ya kumfundisha Mungu mahali pa kumlaza marehemu, Yeye anajua hivyo wewe kaa kimya wajibu wako ni kumfariji tu mfiwa basi!

Kusema RIP ni kujifariji,lakini ukweli ni huo,kama ulitenda wema{ulikubali wokovu wa Mungu kupitia Yesu Kristo} watalazwa pema peponi,otherwise ni MOTONI!
 
Sala hii haipo katika kitabu cho chote cha dini ninazozifahamu!

Inawezekana sala hii ni ya ile dini ya mashetani niliyowahi kusikia imeanzishwa Kenya na kupigwa marufuku baada ya kusababisha maafa! Mungu apishie mbali isije ikaibukia hapa Tanzania.

Huo ndio ukweli wenyewe!
Mungu ndiye anaye jua pa kumlaza mtu,peponi au motoni.
Otherwise,RIP ni kujifariji tu!
 
okay wote ndo safari yetu dunia ni mapito makazi yetu ya kudumu yapo kwa baba tunamuombea apumzike kwa amani na mwanga wa milele umuangazie amina
 
pole sana kaka kubwa zaidi kuwa mvumilivu hasa katika kipindi hiki kigumu mungu atazidi kukuongoza katika maisha yako
 
Mwenyezi Mungu awape roho ya subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P mzee!!
Poleni Lissu family.
 
Mungu mwenye huruma na neema,ampokee ketika ufalme wake na ampe pumziko la milele mbinguni. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina la bwana libarikiwe. Amina.

Hapo ndo huwa napata taabu sana na biblia,tunamlaumu sir god, then hapo hapo tunampongeza amemchukua du!
anyway rip baba mzazi!
 
Pole sana familia ya TUNDU LISSU MUNGU amempenda zaidi pigeni moyo konde
 
Poleni sana familia ya kamanda Tundu Lissu.
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Mungu mwenye huruma na neema,ampokee ketika ufalme wake na ampe pumziko la milele mbinguni. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina la bwana libarikiwe. Amina.

.......... Amina !
 
Back
Top Bottom