Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,088
- 8,769
Ujue husband hao mawifi kama kweli wameshaanza tabia ya kusema wapikiwe hichi, hichi hawataki wameshaona hapo ni pa starehe, wanaweza wakang'ang'ania hapo kwa kutoa visababu vya ajabu, na hata huyo mumewe kusema adili nao sometimes unaona soo kumwambia mtu arudi kwao. Ni sheedahAcha hizo moniccca, kwa inshu ya mawifi ni vyema mme adili nao, kuwa warudi makwao