Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

Habari za Leo Waungwana!

Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4.

Cha kushangaza leo asubuhi wakati watoto wanakwenda school wamekuja kutuaga which is normal. Huwa wanatukumbatia then wanaondoka na sisi pia me and my Hubby we Kiss and hug kila mtu anaingia kwenye gari yake safari ya kazini inaanza.

Huyu Mzee kuona leo namuhug mume wangu ili niingie kwenye gari katoka ndani mbio kamuita Hubby. Sasa sikuweza kuondoka ikabidi nisiingie kwenye gari nimsalimie, hakutaka hata kujibu salamu. Anagomba anamwambia my Hubby malezi gani haya unayolea watoto wako na mkeo? Hamuoni aibu mnakumbatiana, mambo ya kufanya chumbani mnafanya hapa, tabia gani hii mnatuonyesha nini?

Tangu nimeingia hapa naona tuu asubuhi mwaaaaaaaaaa! jioni mwaaaaaaaaaaa! Kama hamtaki wageni nyumbani kwenu semeni bwana msitunyanyase. Mimi sikuwa na la kusema nilirudi tena nikajikuta namhug tena my hubby nikamwambia siku njema tutaongea baadae.

Mzee kasema nataka kuongea na wewe mama mwenye nyumba jioni.

Ikumbukwe huyu baba ana wanawe na hawaongei wapo mji huu niliko mimi, watoto wake wa kike 38 na mwengine 41 na 28 ndio alokuja nao. Wote wa kike hawajaolewa kwa midomo yao. Wako kwangu lakini wanamwambia dada apike wanachotaka wao, wao hawawezi kula chakula cha kuchemsha kama wako Hospital.

Sasa najiuliza huyu mzee anataka nimjibu nini? Nimehisi nimnyamazie wakati anaongea sababu its just a matter of 11days anaondoka zake au atahisi nikinyamaza ntakua nimemdharau?

Waungwana naomba busara zenu as sio kama namchukia ila sipendi mtu anipangie sheria nyumbani kwangu. Ingekua nimevua nguo sawa lakini it was just a normal hug and kiss to my hubby na hata akiwepo nani tumeshazowea
kokote kule hata tuwe tumegombana as long as mmoja wetu ametoka akirudi Kiss and Hug ni must.
tambua kuwa ushasema mzee alafu anaishi kijijini totally unajua nidhamu ya kijijini na anavyosema hivyo siyokama anawzuia kufanya hayo hapana bali anawaambia msifanye hadhalani nivywe ukafunga kwanza mdomo wako na ukatii kwa hizo siku 15 nichache baada yahapo mtalambana hata mpaka barbarani lakini huyo mzee si kosa lake bali ni mazoea na nidhamu yake kijijini
 
Swali la kujiuliza je wewe ulipokuwa unaishi na wazazi wako walikuwa wanakisiana mbele yenu na wageni..!?
Kosa hapo ni lako sababu umeonyesha dharau ya Hali ya juu sana mme wako anakanywa kuhusu jambo hilo halafu wewe unarudia kwa makusudi tena mbele yake.....!
Kumbuka mtoto hakuwi kwa mzazi...
Usikumbatie uzungu wa kwenye tamthiliya zenu za kizungu, kikorea na kifilipino....!!
ukiuangalia huo unaoitwa uzungu kwa umakini ungetupa hyo smart phone ukaenda kujificha pangoni........MTU akifanya hug haimaniishi ni mzungu huyo mzee yeye sasa ndio mzungu (tena wa karne 18 #mkoloni#)
 
Uwezo wangu wa kufikiria unaweza kuwa mara mia zaidi yako,mwanamke mwenye akili timamu hawezi leta mada za kipuuuzi kiasi hiki,watoto wa baba mdogo wa mmeo wakiolewa usisahau kutwambia
sasa mpuuzi ni mleta mada au wewe mchangiaji???? stuka umeingia kwenye mtego wa mpuuzi mwenzio
 
Hahahahaha

Aiseee wewe kiboko... Kila kitu unakimwaga tuuu... Ila hongera watu wa aina yako hutawasikia wanaugua presha maana hawaweki kitu moyoni
I wonder kwa kweli. In as much as I respect people's choices, kuna mambo inabidi watu wawe discreet kidogo. Japo kutoa ya moyo kweli kunapunguza stress, lakini 'kiasi' ni muhimu mno.
 
UNAJUA NIMECHEKA KWELI KUMBE HAYA MAMBO BADO YAPO HAYAJAISHA...MAMBO ANAYOLETA HUYO MZEE HUYO HAHAH MBONA KAMA YUKO KIJIJINI...AF SASA YANI SIJUI,,,,WE KAUSHA TU CHEKA KIMOYOMOYO MAANA NI TATIZO LA MIND SET HILO AS LONG AS WE UNAELEWA UFAHAMU WAKO MKUBWA WE POTEZEA ENDELEA NA LIFE LAKO NA ASEPE TU YE SI ANA WATOTO WAKE PIA KHAA
 
I wonder kwa kweli. In as much as I respect people's choices, kuna mambo inabidi watu wawe discreet kidogo. Japo kutoa ya moyo kweli kunapunguza stress, lakini 'kiasi' ni muhimu mno.
Ndo ivooo.... Watu wanatofautiana..... Sasa jiulize kipi bora kumwaga maneno huku au akayamwagie saloon za kike au mtaani kwake.... Mimi naona bora na huku coz Hamna anae mjua.... Ila hahahahajah uyu kazidiiiiiii
 
I wonder kwa kweli. In as much as I respect people's choices, kuna mambo inabidi watu wawe discreet kidogo. Japo kutoa ya moyo kweli kunapunguza stress, lakini 'kiasi' ni muhimu mno.
Ndo ivooo.... Watu wanatofautiana..... Sasa jiulize kipi bora kumwaga maneno huku au akayamwagie saloon za kike au mtaani kwake.... Mimi naona bora na huku coz Hamna anae mjua.... Ila hahahahajah uyu kazidiiiiiii
 
Habari za Leo Waungwana!

Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4.

Cha kushangaza leo asubuhi wakati watoto wanakwenda school wamekuja kutuaga which is normal. Huwa wanatukumbatia then wanaondoka na sisi pia me and my Hubby we Kiss and hug kila mtu anaingia kwenye gari yake safari ya kazini inaanza.

Huyu Mzee kuona leo namuhug mume wangu ili niingie kwenye gari katoka ndani mbio kamuita Hubby. Sasa sikuweza kuondoka ikabidi nisiingie kwenye gari nimsalimie, hakutaka hata kujibu salamu. Anagomba anamwambia my Hubby malezi gani haya unayolea watoto wako na mkeo? Hamuoni aibu mnakumbatiana, mambo ya kufanya chumbani mnafanya hapa, tabia gani hii mnatuonyesha nini?

Tangu nimeingia hapa naona tuu asubuhi mwaaaaaaaaaa! jioni mwaaaaaaaaaaa! Kama hamtaki wageni nyumbani kwenu semeni bwana msitunyanyase. Mimi sikuwa na la kusema nilirudi tena nikajikuta namhug tena my hubby nikamwambia siku njema tutaongea baadae.

Mzee kasema nataka kuongea na wewe mama mwenye nyumba jioni.

Ikumbukwe huyu baba ana wanawe na hawaongei wapo mji huu niliko mimi, watoto wake wa kike 38 na mwengine 41 na 28 ndio alokuja nao. Wote wa kike hawajaolewa kwa midomo yao. Wako kwangu lakini wanamwambia dada apike wanachotaka wao, wao hawawezi kula chakula cha kuchemsha kama wako Hospital.

Sasa najiuliza huyu mzee anataka nimjibu nini? Nimehisi nimnyamazie wakati anaongea sababu its just a matter of 11days anaondoka zake au atahisi nikinyamaza ntakua nimemdharau?

Waungwana naomba busara zenu as sio kama namchukia ila sipendi mtu anipangie sheria nyumbani kwangu. Ingekua nimevua nguo sawa lakini it was just a normal hug and kiss to my hubby na hata akiwepo nani tumeshazowea
kokote kule hata tuwe tumegombana as long as mmoja wetu ametoka akirudi Kiss and Hug ni must.

MKUU.

ACHA KUENDEKEZA UMAGHARIBI SANA-
KAMA KUNA BABA/YENU KUWENI NA ADABU!

HALAFU HIYO KUWASEMA NDUGU WENGINE WA MIAKA 38, 41 NA 28 AMBAO HAWAJAOLEWA INAHUSIANA NINI NA MALALAMIKO DHIDI YA BABA MKWE WAKO MDOGO???

UWASILISHAJI WAKO UNAASHIRIA KABISA UNACHUKIA UWEPO WAO
KIASI CHA KUHESABIA HADI HIZO SIKU ZILIZOSALIA KWA USONGO.

JE,
ANGEKUWA MZAZI WAKO ND'O ANAKEMEA HIVYO NA KAJA KWA AJILI YA MATIBABU KWA MIEZI MIWILI INGEKUWAJE???
------------------

TAMBUA:
HUYO BABA HAKUPANGII NAMNA YA KUISHI NYUMBANI KWAKO,
ILA KWA TAMADUNI ZILIZOWAKUZA WAZAZI WETU
KUKUMBATIANA NA MABUSU HADHARANI SIO STARA.

---------
VINGINEVYO
WEKA PICHA NIKUSHAURI FASTA HAPA.

ANGALIZO:
MIMI SIO WA MCHEZO MCHEZO,
NA HUWA SIJARIBIWI KABISAAA!!!

Habari za Leo Waungwana!

Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4.

Cha kushangaza leo asubuhi wakati watoto wanakwenda school wamekuja kutuaga which is normal. Huwa wanatukumbatia then wanaondoka na sisi pia me and my Hubby we Kiss and hug kila mtu anaingia kwenye gari yake safari ya kazini inaanza.

Huyu Mzee kuona leo namuhug mume wangu ili niingie kwenye gari katoka ndani mbio kamuita Hubby. Sasa sikuweza kuondoka ikabidi nisiingie kwenye gari nimsalimie, hakutaka hata kujibu salamu. Anagomba anamwambia my Hubby malezi gani haya unayolea watoto wako na mkeo? Hamuoni aibu mnakumbatiana, mambo ya kufanya chumbani mnafanya hapa, tabia gani hii mnatuonyesha nini?

Tangu nimeingia hapa naona tuu asubuhi mwaaaaaaaaaa! jioni mwaaaaaaaaaaa! Kama hamtaki wageni nyumbani kwenu semeni bwana msitunyanyase. Mimi sikuwa na la kusema nilirudi tena nikajikuta namhug tena my hubby nikamwambia siku njema tutaongea baadae.

Mzee kasema nataka kuongea na wewe mama mwenye nyumba jioni.

Ikumbukwe huyu baba ana wanawe na hawaongei wapo mji huu niliko mimi, watoto wake wa kike 38 na mwengine 41 na 28 ndio alokuja nao. Wote wa kike hawajaolewa kwa midomo yao. Wako kwangu lakini wanamwambia dada apike wanachotaka wao, wao hawawezi kula chakula cha kuchemsha kama wako Hospital.

Sasa najiuliza huyu mzee anataka nimjibu nini? Nimehisi nimnyamazie wakati anaongea sababu its just a matter of 11days anaondoka zake au atahisi nikinyamaza ntakua nimemdharau?

Waungwana naomba busara zenu as sio kama namchukia ila sipendi mtu anipangie sheria nyumbani kwangu. Ingekua nimevua nguo sawa lakini it was just a normal hug and kiss to my hubby na hata akiwepo nani tumeshazowea
kokote kule hata tuwe tumegombana as long as mmoja wetu ametoka akirudi Kiss and Hug ni must.

Tena nikipata mgeni, ndio naongeza mapenzi kwa mume wangu, this is my life. Na hata mama mkwe na baba mkwe wawepo, mlango sifungagi kama kawaida yangu, tunakula mzigo hivo hivo, kwani mapenzi yao? si bora wawe biz na mapenzi yao kuliko kufuatilia mapenzi ya wengine.

Basi kama yeye ni baba bora, angewalea watoto wake vizuri ili wadumu kwenye ndoa zao,

Mwambie kama hapendi basi hasiangalie, akiona munafanya hivo ageuze shingo, au afumbe macho
 
ahahah Kaniwacha hoi mie,anasema mnadekeza watoto kama wale wenzenu kule kujitia uzungu tuu, mtoto akikosea mpige sio kumuita nakuongea nae charaza fimbo mpaka akae sawa.lol
Weeee..siku hizi watoto wana ngozi laini fimbo 2 tu ngozi inachanika...polisi jamii wanarara mbere na wewe...Ila pole sana wageni ni baraka lkn wengine wanaleta kisirani. Muombe Mungu akupe hekima ya kuishi nao...
 
Habari za Leo Waungwana!

Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4.

Cha kushangaza leo asubuhi wakati watoto wanakwenda school wamekuja kutuaga which is normal. Huwa wanatukumbatia then wanaondoka na sisi pia me and my Hubby we Kiss and hug kila mtu anaingia kwenye gari yake safari ya kazini inaanza.

Huyu Mzee kuona leo namuhug mume wangu ili niingie kwenye gari katoka ndani mbio kamuita Hubby. Sasa sikuweza kuondoka ikabidi nisiingie kwenye gari nimsalimie, hakutaka hata kujibu salamu. Anagomba anamwambia my Hubby malezi gani haya unayolea watoto wako na mkeo? Hamuoni aibu mnakumbatiana, mambo ya kufanya chumbani mnafanya hapa, tabia gani hii mnatuonyesha nini?

Tangu nimeingia hapa naona tuu asubuhi mwaaaaaaaaaa! jioni mwaaaaaaaaaaa! Kama hamtaki wageni nyumbani kwenu semeni bwana msitunyanyase. Mimi sikuwa na la kusema nilirudi tena nikajikuta namhug tena my hubby nikamwambia siku njema tutaongea baadae.

Mzee kasema nataka kuongea na wewe mama mwenye nyumba jioni.

Ikumbukwe huyu baba ana wanawe na hawaongei wapo mji huu niliko mimi, watoto wake wa kike 38 na mwengine 41 na 28 ndio alokuja nao. Wote wa kike hawajaolewa kwa midomo yao. Wako kwangu lakini wanamwambia dada apike wanachotaka wao, wao hawawezi kula chakula cha kuchemsha kama wako Hospital.

Sasa najiuliza huyu mzee anataka nimjibu nini? Nimehisi nimnyamazie wakati anaongea sababu its just a matter of 11days anaondoka zake au atahisi nikinyamaza ntakua nimemdharau?

Waungwana naomba busara zenu as sio kama namchukia ila sipendi mtu anipangie sheria nyumbani kwangu. Ingekua nimevua nguo sawa lakini it was just a normal hug and kiss to my hubby na hata akiwepo nani tumeshazowea
kokote kule hata tuwe tumegombana as long as mmoja wetu ametoka akirudi Kiss and Hug ni must.
Alaa kumbe huku wajiita Umpende nani??

Jioni ukimalizana na Mkweo, unakesi nyingine chumbani!!
 
Back
Top Bottom