Baba amtia mimba bintiye......

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Mkazi mmoja wilayani Muleba katika mkoa wa kagera anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake wa kike wa kumzaa. Bwana Alex Felix, anatuhumiwa kumpa mimba binti huyo mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Habari zinasema Bw. Felix alikuwa akimbaka msichana huyo hali iliyopelekea kupata ujauzito.

Kufuatia tukio hilo, mkuu wa wilaya ya Muleba Bi Angela Mabula amemuagiza mkuu wa polisi wa wilaya hiyo kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa huyo na hatimaye kumfikisha katika vyombo vya sheria. Kwa sasa msichana huyo anahifadhiwa nyumbani kwa mkuu huyo wilaya baada ya baba yake huyo kutoweka na hivyo kukosa mtu wa kumpa matunzo. Binti mpaka sasa ana mimba ya miezi mitatu.:confused::confused::confused:
 
Ana laana huyo Alex. Akamatwe ili akapambane na mkono wa sheria. Dawa yake ni mvua 30. Akitoka jela atakuwa tayari ni scrapper ili asiharibu watoto wengine.
 
......Duniani hapa kuna mambo jamani, baba mzima kumbaka mwanawe hata mshipa wa haya hana mhhhh!! Huyo mzee atafutwe tu hadi apatikane, na afungwe kifungo cha maisha. Ukisikia mtu mzima ovyo ndio huyu baba.
 
yaani anadhani utamu wa mama wa mtoto ndio atakua nao mtoto, mmh kweli kua uyaone.
 
Mkazi mmoja wilayani Muleba katika mkoa wa kagera anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake wa kike wa kumzaa. Bwana Alex Felix, anatuhumiwa kumpa mimba binti huyo mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Habari zinasema Bw. Felix alikuwa akimbaka msichana huyo hali iliyopelekea kupata ujauzito.

Kufuatia tukio hilo, mkuu wa wilaya ya Muleba Bi Angela Mabula amemuagiza mkuu wa polisi wa wilaya hiyo kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa huyo na hatimaye kumfikisha katika vyombo vya sheria. Kwa sasa msichana huyo anahifadhiwa nyumbani kwa mkuu huyo wilaya baada ya baba yake huyo kutoweka na hivyo kukosa mtu wa kumpa matunzo. Binti mpaka sasa ana mimba ya miezi mitatu.:confused::confused::confused:

Hii kiboko, mara nyingi haya mambo yanatokea wazazi wakikwa hawakai pamoja, jamaa kaja usiku Lubisi kichwani, mtoto anafungua mlango kwa nini asipandishe shetani la ngono.

Ni aibu sana - lakini jaribuni pia kuangalia chanzo cha hili jibaba kujilia vyake, nafikiri kusambaratika kwa familia baba anajikuta anabakia na binti yake wa miaka 12 nyumbani, wanajipikia wanalala pamoja.

aaaaa - duh - kasheshe mtoto sasa sijui atamwitaje
 
Ni aibu. nafikiri hiyo mimba wangetoa pia
...Yap! hata mimi nilifikiria hivyo vinginevyo binti atapoteza nafasi ya kusoma. But, mazee naona pia imekaa kimtindo maana kwanza ni kosa kisheria kufanya abortion na pia endapo huyo jamaa atapatikana na kufikishwa mahakamani kidhibi ni hiyo mimba huoni ikitolewa watakuwa wamepoteza ushahidi??
 
mh hii ni aibu kubwa ivi inaanzaje sipati picha mtoto atamwitaje babu yake baba
 
A complete disinterdgration in family.

BINTI ANAKUWA MKE MWENZA!

Lakini katika familia kama hii, ujue ilikuwa na matatizo tangu mwanzo.
Huyu m'baba most probably alikuwa amemwacha AU KUTENGANA na mkewe, akabaki na binti hapo nyumbani, ndo akaanzisha usanii huo .

....Nakuchukia kuachana..." Jesus
 
nimeisikia hii habari asubuhi nikachanganyikiwa ..yaani mambo yamegeuka sana hapa duniani
Kunanini??
 
Huyu Alex akipatikana, kwanza alambwe bakora 24, then mvua 30 iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo potofu kama yake.. Looooh! Aibu..
 
Du hii ni laana kali iliyoipata dunia! Hapa tunapata funzo kuwa hivi sasa hakuna mtu wa kumuamini 100%, baba, mama, watoto wote ni kuishi nao kimashakamashaka!
Hili jamaa inafaa linyongwe hadharani ingawa sheria haziruhusu!
 
Huyu Alex akipatikana, kwanza alambwe bakora 24, then mvua 30 iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo potofu kama yake.. Looooh! Aibu..

na akifanikiwa kutoka jela kama hajafia huko alambwe zingine 24.:mad:
 
A complete disinterdgration in family.

BINTI ANAKUWA MKE MWENZA!

Lakini katika familia kama hii, ujue ilikuwa na matatizo tangu mwanzo.
Huyu m'baba most probably alikuwa amemwacha AU KUTENGANA na mkewe, akabaki na binti hapo nyumbani, ndo akaanzisha usanii huo .

....Nakuchukia kuachana..." Jesus

Hii itabidi tusameheane tu!
Pata picha, mama kazaa na mwanae wa kiume! Huyo baba atasemaje?
VYOTE NI ABOMINATION!
 
Lol Baba kumjaza mimba bintiye si jambo la leo hilo.
Kuna binti wamenogewa na penzi la baba zao hata wakiolewa bado wanawapelekea baba zao
Bisha
 
......Duniani hapa kuna mambo jamani, baba mzima kumbaka mwanawe hata mshipa wa haya hana mhhhh!! Huyo mzee atafutwe tu hadi apatikane, na afungwe kifungo cha maisha. Ukisikia mtu mzima ovyo ndio huyu baba.

inawezekana Mtoto amfanana na mama yake ,baba akashindwa kujizuwia . Lol
pombe kweli Baba wa maasi.
 
Back
Top Bottom