Baba amtia mimba bintiye......

Napata kigugumizi kwa sababu sielewi ki sheria suala hili limekaaje. Kwa sababu kimantiki kubakwa ni suala linalotakiwa kuripotiwa instantly, sasa hili suala la binti kuja fahamika ana mimba ya baba yake ya miezi mitatu? Na ni baada ya baba yake kutoweka, hii imekaaje sielewi!
 
Jay4
hiyo ndo dunia ya Mola ambapo kila mtu anajilia kipande chake bila kelele, mtamstukia tu anapokatisha kwenda msalani mara tatu kutwa.

Sheria za Bongo zinahitaji kutungiwa sheria ya utekelezaji.

Ila binti alinogewa ndo maana akawa anasita kushtaki mpaka yalipomkuta
 
Jaman sasa naamn kuwa uyaone. Kumbe ni kweli kwamba "ya Mungu mengi ya kuku mayai ya watu maneno" huyu baba amelogwa na aliyemloga ameshafarik zaman kwa hyo huyo ni milele kwa tabia hyo. Nashdwa kutoa adhabu mana, akifungwa mvua 30, akirud mtoto ni mkubwa kwa miaka kama hyo, je ataitwa baba? Akifungwa maisha mana yake atakayezaliwa hatakuwa na baba na hatamfahamu. Hapo mwalionaje hlo wana Jf. Lakin mind u anastahl adhabu!!:rolleyes:
 
Back
Top Bottom