Baba ambaka binti yake, ampa 2,000/- atunze siri

jamani cpati uchungu aliopata huyu binti wawatu na ndio ameshamuathiri kisaikolojia mana atakua anakumbuka iyo hali na hata akiwa mkubwa atakua na inferiority mda wote koz ya hilo tukio la kufanyiwa na mzazi wake ama kweli dunia kwishney
 
Mi nadhani kuhasiwa si adhabu nzuri, bora akae hivyo hivyo na
uzima wake lakini asipate chakula!
 
Laiti kabinti haka kangekuwa kachaga kasingetoboa siri zaidi ya kuendelea kuchuna.
 
Angekuwa binti wa kichaga asingetoboa siri bali kuendelea kuchuna busi mradi kuna besha babaangu rua! Yapo mengi kama haya ila kwa vile wengi wanafanikiwa kunyamazishana kwa tamaa ya pesa. Huyu binti kafanya jambo la maana. Huyu baba apaswa kuchomwa moto kama kibaka bila kujali ni binadamu au nyani. Najua wengi watasema nimeunga mkono uvunjaji wa haki za binadamu. Kitendo alichofanya baba huyu ni cha kihayawani hivyo kutendewa kama hayawani ruksa. Kwa yale makabila yenye kamchezo haka yaani incest kaeni chonjo. Watu wanatembea na kaka dada baba wadogo wajomba na hata baba wakwe! Laana gani hii hata kama mnapewa pesa. Heri ya vyangudoa hawatembei na ndugu zao.
 
Siku hizi imani haipo tena yaani mambo ni vagalant,inaonekana huyo mzee alikuwa anakatamani kabint kake tangu siku nyingi,mama yake akiwa anakaogesha yeye anatoa udenda,ndio maana akaamua kumaliza kabisa.
 
Sijui tunaelekea wapi, kama mzazi unafanya hivi kweli!?!? Ulaaniwe kabisa na upuuzi wako, kama una akili timamu kabisa basi uende kutumikia hiyo miaka 30 jela na kazi ngumu sama kama kuponda mawe n.k

anyongwe tu ndugu wala jela si halali yake,
 
Angekuwa binti wa kichaga asingetoboa siri bali kuendelea kuchuna busi mradi kuna besha babaangu rua! Yapo mengi kama haya ila kwa vile wengi wanafanikiwa kunyamazishana kwa tamaa ya pesa. Huyu binti kafanya jambo la maana. Huyu baba apaswa kuchomwa moto kama kibaka bila kujali ni binadamu au nyani. Najua wengi watasema nimeunga mkono uvunjaji wa haki za binadamu. Kitendo alichofanya baba huyu ni cha kihayawani hivyo kutendewa kama hayawani ruksa. Kwa yale makabila yenye kamchezo haka yaani incest kaeni chonjo. Watu wanatembea na kaka dada baba wadogo wajomba na hata baba wakwe! Laana gani hii hata kama mnapewa pesa. Heri ya vyangudoa hawatembei na ndugu zao.

Mzee hii ni kweli??!!!!!
 
Amen..
Inawezekana huyu Baba shetani alikuwa akimmendea Bint yake muda mrefu
hivyo akatafuta mbinu ya kungoneka nae,
na pengine pia alimuona bintie akienda na wanaume wengine (maana mabint wengine huanza mapema haya mambo) akawaonea wivu
hivyo akataka kula mwenyewe!
Na alaaniwe alalae na Bintie!
Wote tuseme Amen!
 
Back
Top Bottom