Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,629
Kundi la wananchi wa Zanzibar wamekusanyika leo nje ya ukumbi wa baraza la wawakilishi kudai hoja yao ya kutaka iitishwe kura ya maoni juu ya muungano ijadiliwe na baraza hilo.
Wananchi hao wanadai kabla ya mchakato wa katiba mpya kuendelea wanataka Wazanzibari watoe maoni yao kama wanataka muungano au la.
Source: DW RADIO.
Wananchi hao wanadai kabla ya mchakato wa katiba mpya kuendelea wanataka Wazanzibari watoe maoni yao kama wanataka muungano au la.
Source: DW RADIO.